Bunge la 11 kuandika historia

Bunge la 11 kuandika historia

Lazima tukubali kuna tatizo huko Zanzibar

Kama bunge la JMT litaitishwa pasipo mgogoro huu kupatiwa ufumbuzi kuna haya mawili yaweza kutokea;

1. Wabunge kutoka Zanzibar kugawanyika CUF kususia bunge huku wa CCM wakihudhuria (na hili litakuwa ni tatizo kubwa zaidi na kuchochea mgogoro uliopo)

2. Wabunge wote wa Zanzibar kwa maana ya wale wa CUF na CCM kuhudhuria bungeni. Lakini mara Rais Magufuli atakapoingia bungeni kuhutubia atasusiwa kwa wabunge wote wa UKAWA kutoka nje kuunga mkono wenzao wa Zenj na pia kumpinga yeye kuwa amepata nafasi hiyo kwa kura za kuchakachua!!

Kwa hali ilivyo, Magufuli ajiandae kwa hili kwa sababu iko wazi na itakuwa hivyo

Tunajua hili halitamzuia kutekeleza majukumu yake ya kila siku. Lakini ni tatizo sana kuongoza taifa ambalo taasisi kama hii ya bunge na watu wake wamegawanyika, hawako pamoja!!
 
hiii jamani sasa feki haihitaji kuwa na cheti tu cha sheria, mtu yule yule wakti ule ule, apige kura kwa wakti mmoja, muungano sawa zanzobar mbaya!! Upiuuzi jaji , jaji historia itakutsuta one day


majaji wenye kadi za ccm mifukoni mwao ndio tulionao tz wengine walijitokeza wazi kugombea uraisi kwa upande wa ccm , utawala wa ccm ni janga
 
Back
Top Bottom