Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Jana akiwa Bandarini jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli alisema huko nyuma kulikuwa na tabia ya bunge kutunga sheria halafu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kabla ya kuipeleka kwa Rais kusainiwa,wao wanaibadili na kupeleka tofauti na iliyopitishwa na bunge.Akatolea mfano wa sheria ya mafuta ya kupikia kutoka nje iliyotumgwa na bunge,akasema iliyotungwa na bunge siyo ile aliyopelekewa Rais na ofisi ya mwanasheria mkuu.
Kama hii ni kweli,basi ni hatari sana na kama tungekuwa nchi "Serious kwenye masuala serious" bunge lingetoa hoja ya kuundwa kamati teule ya kupitia sheria zote na kuchunguza kama kile ambacho huwa wanachopitisha je ndicho kinachopelekwa kwa Rais ili akisaini?vinginevyo haija haja ya kuwa na bunge!.
Ila wale wala ganja wamekomeshwa sana awamu hiiBunge lililojaa mbumbumbu kutoka ccm watapaje uwezo wa kuichallange serikali ikiwa kazi yao kubwa ni kugonga mihuri tu kwa kila liletwalo na Serikali
Unamaanisha Kibajaj, Jah People na Msukuma?Ila wale wala ganja wamekomeshwa sana awamu hii
huwa anasaini tu bila kusoma?Jana akiwa Bandarini jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli alisema huko nyuma kulikuwa na tabia ya bunge kutunga sheria halafu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kabla ya kuipeleka kwa Rais kusainiwa,wao wanaibadili na kupeleka tofauti na iliyopitishwa na bunge.Akatolea mfano wa sheria ya mafuta ya kupikia kutoka nje iliyotumgwa na bunge,akasema iliyotungwa na bunge siyo ile aliyopelekewa Rais na ofisi ya mwanasheria mkuu.
Kama hii ni kweli,basi ni hatari sana na kama tungekuwa nchi "Serious kwenye masuala serious" bunge lingetoa hoja ya kuundwa kamati teule ya kupitia sheria zote na kuchunguza kama kile ambacho huwa wanachopitisha je ndicho kinachopelekwa kwa Rais ili akisaini?vinginevyo haija haja ya kuwa na bunge!.
Jana akiwa Bandarini jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli alisema huko nyuma kulikuwa na tabia ya bunge kutunga sheria halafu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kabla ya kuipeleka kwa Rais kusainiwa,wao wanaibadili na kupeleka tofauti na iliyopitishwa na bunge.Akatolea mfano wa sheria ya mafuta ya kupikia kutoka nje iliyotumgwa na bunge,akasema iliyotungwa na bunge siyo ile aliyopelekewa Rais na ofisi ya mwanasheria mkuu.
Kama hii ni kweli,basi ni hatari sana na kama tungekuwa nchi "Serious kwenye masuala serious" bunge lingetoa hoja ya kuundwa kamati teule ya kupitia sheria zote na kuchunguza kama kile ambacho huwa wanachopitisha je ndicho kinachopelekwa kwa Rais ili akisaini?vinginevyo haija haja ya kuwa na bunge!.
light tlakRight Track
Which trucklight tlak
Mambo mengine ni vigumu hata kuyaamini na kama ni kweli,basi nchi hii itakuwa nchi ya wahuni!Kuna haja ya kufuatilia tuhuma hizi kikamilifu, na wote walioshiriki katika uhuni huu, wachukuliwe hatua kali kufuatana na sheria za nchi yetu.Watu waliopewa dhamana ya kuitumikia na kuilinda nchi watafanyaje tena vitendo vya kuihujumu?No,vitendo hivi havina totauti kabisa na uhujumu uchumi na taifa,kwa hiyo ni lazima wahusika wawajibishwe ili iwe fundisho kwa wengine.Jana akiwa Bandarini jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli alisema huko nyuma kulikuwa na tabia ya bunge kutunga sheria halafu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali kabla ya kuipeleka kwa Rais kusainiwa,wao wanaibadili na kupeleka tofauti na iliyopitishwa na bunge.Akatolea mfano wa sheria ya mafuta ya kupikia kutoka nje iliyotumgwa na bunge,akasema iliyotungwa na bunge siyo ile aliyopelekewa Rais na ofisi ya mwanasheria mkuu.