Bunge kuvunjwa

Bunge kuvunjwa

Chura

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,424
Reaction score
2,519
Habari zenu wakali, kichwa cha habari chajieleza ningependa kujuzwa bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa TZ lilipangwa kuvunjwa tarehe 27/6/2025 lakini mwenye mamlaka kikatiba kuvunja bunge Rais ametangaza kuhairisha shughuli za bunge na kusema kuwa bunge litavunjwa rasmi 3/8/2025.

Je kuhairisha zoezi za uvunjwaji bunge ni jambo la kawaida au hua linatokea kwa sababu fulani nyeti?


Karibuni kwa mchango na sisi vilaza tuelewe maana tunahisi something fishy is going under the bed 😅😅
 
Na hakuna mtanzania anayejali, sasa hivi bado wanabishana derby ya kariakoo.
 
Back
Top Bottom