gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Siamini kama una ubongoBora lisirushwe papo kwani hicho ni kikao cha kazi watu wanabungua bongo. Siri ya bungua bongo mchangiaji husema chochote anachoona kinafaa kuwa suluhu. Mengine si mazuri kuja moja kwa moja kwa wananchi.
Pia chadema hutumia muda huo kuuza sura na kuyumbisha uamuzi kwani kwenye kamati wanakubari wakimurikwa kwenye kamera wanapinga michango yao. Sasa njia ni kuondoa kifaa kinachowapa uwendawazimu.