UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Mkuu,hali kwenye kila sekta ni kila siku afadhali ya jana!
Mie kidole wakinipa visa ya Australia ntarud bongo kutembea
Mh zipuwaa hoja yako imesikilizwa. Endelea mh!Mheshimiwa hatuwezi kuweka vyama pembeni kwani kuna vyama ndio vinazidi kutuangamiza kila kukicha hivyo turuhusu tu wa bunge wa vyama vyote tuwawakilishe wananchi wenzetu la sivyo itakuw ngumu kuweka chama kama CCM pembeni kwenye janga hili la Taifa ndg mheshimiwa
Mh upo live ujue. Wapiga kura wako wanakutazama na kukusikiliza!hali imekuwa ngumu kweli kwa wananchi,maboresho ya huduma mbalimbali za jamii yamefanyika kwa kiwango cha chini ya asilimia 50,huku elimu kwa wanafunzi ikizidi kudorora,tatizo mishahara hewa likishindikana kumalizwa lakini kwa watu kama wabunge hali ni nzuri sana na ya neema kubwa kweli kweli asanteni sana waheshimiwa,hizi sikukuu zimekwangua fedha yote,lkn nafikiri vikao haviko mbali toka sasa
Mh niggas vikao vya wabunge ni posho ya kawaida tu kama wafanyakazi kwenye taasisi zingne. Wapiga kura wasijeelewa vibaya!hali imekuwa ngumu kweli kwa wananchi,maboresho ya huduma mbalimbali za jamii yamefanyika kwa kiwango cha chini ya asilimia 50,huku elimu kwa wanafunzi ikizidi kudorora,tatizo mishahara hewa likishindikana kumalizwa lakini kwa watu kama wabunge hali ni nzuri sana na ya neema kubwa kweli kweli asanteni sana waheshimiwa,hizi sikukuu zimekwangua fedha yote,lkn nafikiri vikao haviko mbali toka sasa
Mh chris fanya tathmini ya maisha ya watz. Achana na maneno ya wanasiasa kwenye mikutano yao!Tuhalalishe gondo na bange
Mh chimbuvu naamini viongozi wa serikali wataliangalia hiliNdugu waheshimiwa tabia za vijana wa kitanzania kubadili wasichana kama nguo ikome na kwa upande wa wasichana kubadili wanaume kama nguo ikome.itungwe sheria iwapo mvulana atakapokutana kimwili na mwanamke basi huyo atakuwa ni mke halali na yeyote atakayebainika anatembea nje ya ndoa apewe adhabu ya miaka 7 jela na viboko 10,vitano akiwa anaingia na vitano akiwa anatoka ili akawaonyeshe watoto wake.
Mheshimiwa Spika naomba Muongozo kwa lugha kama hizi kutumiwa hapa BungeniTuhalalishe gondo na bange
Mheshimiwa, wewe ni mdau kwa namna moja ama nyingine! Please wakilisha watanzania wenzako!
Tuhalalishe gondo na bange
MH;HAWA NDIO WALEWALE WATAKAO KUJA ALALISHA GONGO,mwongozo ||tafadhali kaa chiniMh chris fanya tathmini ya maisha ya watz. Achana na maneno ya wanasiasa kwenye mikutano yao!