King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Feb 25, 2015 #101 Mie nategemea Mungu, halafu sina hata hela nalinda nini sasa? Wakija kama ni simu na tv acha wachukue nitanunua zingine. Katia insurance valuables zako achana na stress OLESAIDIMU said: Unaamini nini zaid my dada nami nijifunze maana sasa nategemea mbio tu!!! Click to expand...
Mie nategemea Mungu, halafu sina hata hela nalinda nini sasa? Wakija kama ni simu na tv acha wachukue nitanunua zingine. Katia insurance valuables zako achana na stress OLESAIDIMU said: Unaamini nini zaid my dada nami nijifunze maana sasa nategemea mbio tu!!! Click to expand...
Matege JF-Expert Member Joined Dec 7, 2013 Posts 1,476 Reaction score 648 Feb 25, 2015 #102 Mussa2000 said: hizo wanauza pia kwa watu binafsi ktk maduka ya silaha? Click to expand... hapana mkuu.. hizo ni bunduki za kivita. wananchi tunazoruhusiwa kumiliki ni shortgun, gobore na pistols
Mussa2000 said: hizo wanauza pia kwa watu binafsi ktk maduka ya silaha? Click to expand... hapana mkuu.. hizo ni bunduki za kivita. wananchi tunazoruhusiwa kumiliki ni shortgun, gobore na pistols