Bunduki inafanyaje kazi?

Matege inaonesha ww sio mtu mzuri,,, kwann unawachukia askari?
Kama hali yako ndio hyo ni bora usimiliki kabisa kwasababu utajiharibia futur yako bure. Ww miliki sime na manati tu kaka
 
Last edited by a moderator:

Zipo jamani 15rds na ukifanya hivyo unakuwa na 16. . . . .na kwa nini uhangaike wakati you can have an extra mag with same amount of pelets by your waist???!!!!
 
Nimetosheka na maelezo ,siku njema .I just need to get Info not to waste my time joking,,,,Thanks

hahaaaaaaaa.. na daught kuhusu age yako. if really uko 40's alafu unaandika hivi.. we utakua jamii ya le mutuz. good day
 
Matege inaonesha ww sio mtu mzuri,,, kwann unawachukia askari?
Kama hali yako ndio hyo ni bora usimiliki kabisa kwasababu utajiharibia futur yako bure. Ww miliki sime na manati tu kaka

kiruuuuuu.. jamani mi ni ke mkuu. manati ninayo mkuu
 
Last edited by a moderator:
Zipo jamani 15rds na ukifanya hivyo unakuwa na 16. . . . .na kwa nini uhangaike wakati you can have an extra mag with same amount of pelets by your waist???!!!!

ndo nazisikia kwenu... itabidi ni google mkuu
 
Nimetosheka na maelezo ,siku njema .I just need to get Info not to waste my time joking,,,,Thanks

Sawa mkuu samehe kwa yote ila nakushauri tena na tena tafuta sana taarifa za silaha kabla hujaamua aina uitakayo. . . . .nakutakia siku njema ila kuwa na.silaha ni kitu kimoja na kujihakikishia usalama wake na wako ni kitu kingine!!!!

Be blessed
 
Matege hapa naunganisha dots halafu nachanganya na zangu tangu kule tulipoanzia
 
Last edited by a moderator:
ndo nazisikia kwenu... itabidi ni google mkuu

Yeah do that, and keep doing it maana knowledge on guns is soo vital if one intends to posses or already possessing one. . . . . .Having it without proper info is even lethal. . . . Its better to have none than having one with little proper info. . . . . . . .
 
Matege hapa naunganisha dots halafu nachanganya na zangu tangu kule tulipoanzia

usiunge dots mkuu.. piga mstari na rula ikibidi kabisaaaa.. ila umeingia chaka
 
Last edited by a moderator:
ikiwa cocked na risasi ikiwa chemba si inakuwa siyo salama? i mean inabaki ku pull trigger tu. ni salama kuihifadhi hivyo ?
 
ikiwa cocked na risasi ikiwa chemba si inakuwa siyo salama? i mean inabaki ku pull trigger tu. ni salama kuihifadhi hivyo ?
ndio maana nikasema kwa wazoefu. risas ikiwa chemba hapo ni kuwa makin na usalama. ukifunga usalama inakuwa self
 
hizo wanauza pia kwa watu binafsi ktk maduka ya silaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…