Bunduki iliyotungua helkopta yapatikana Simiyu

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Bunduki iliyotungua helkopta yapatikana Simiyu.


loader-2.gif
IMG_0114.JPG

Bunduki hiyo aina ya Riffle Na 7209460 CAR Na 63229, imepatikana mara baada ya jeshi la polisi kufanikiwa kuwakamata watu 9 wanaotuhumiwa kuhusika na tukio hilo.

Kamanda Lazaro Mambosasa amesema kuwa kukamatwa kwa watuhumiwa hao kumetokana na jeshi hilo kushirikiana na wananchi, pamoja na uongozi wa TANAPA.

Aidha waliokamatwa wamekiri kuhusika na tukio hilo, huku akieleza kuwa msako mkubwa ulifanywa na jeshi hilo mara baada ya tukio kutokea chini ya mkuu wa upelelezi mkoa Jonathan Shana.
 
Polisi wetu wakiwezeshwa tu hakuna kesi yeyote ya uhalifu watashindwa kutatua. Big up our boys ila mpunguze tu kutunyanyasa wanyonge sisi bado ndugu zenu
 
Back
Top Bottom