Bundle za internet zenye gharama nafuu

Bundle za internet zenye gharama nafuu

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,978
Habari zenu wadau..
Kwa anayejua ni mtandao gani hapa bongo wenye gharama nafuu ya bundle...
Nina line mbili, Halotel na Voda,... Nimekua nikiitumia Halotel kwa internet kwani nililinganisha na Vodacom nikagundua Halotel kuna kaunafuu... Sasa nimeongeza simu nyingine, so nataka line mpya kutoka mitandao mingine lakini iwe na unafuu wa gharama za vifurushi na yenye kasi,.. Naomba ushauri wenu.
 
Mie Niko voda natumia offer ya "ukonga family" yaan kwa 2000 napewa 1GB kwa wiki.
 
Kama unaangalia unafuu na sio kasi ya mtandao basi hamia Airtel ofa zao ni nzuri ..

1.2 GB = 48 hrs
1 GB = siku saba
 
Tumia zantel kitu kina kasi mbaya

Line zao zote za sasa ni za chuo.

Sh. 500--- mb 500 wiki
Sh.1500--- 1.5GB wiki
Sh.10000--- 10.5 GB nwezi
 
Natumia ttcl.nadhani inafaa uiweke kwenye wishlist pia.bundles hazipo cheap tu,speed ipo costant at 4G..nimekaa hapa ..sidhani kama ntakaa kuhangaika kwingne
 
Back
Top Bottom