Bundi kutua tena CCM!

Bundi kutua tena CCM!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Heshima mbele wanajukwaa!

Nimepenyeshewa taarifa na mtu wa karibu kabisa ndani ya chama chetu tawala kua mwanzoni mwa mwezi October kuna viongozi waandamizi ndani ya CCM wanategemea kujiunga na UKAWA na kumuunga mkono mgombea ndani ya umoja huo!

Hata hivyo mnyetishaji wangu huyo ambaye hakutaka kuendelea kunipa ushirikiano zaidi wa ukweli wa taarifa zake zaidi ya kuniambia kua" we elewa hivyo kua kutakua na kitu kama hicho muda ukifika" awali aliniambia kua sasa ni dhahiri kua kuna watu ambao wako ndani ya CCM lakini nyoyo zao zote ziko ukawa kitu ambacho kimempelekea mgomea wao kulalamika kasalitiwa! amesema kuna hata wengine ambao no wagombea ndani ya CCM na wengine wamo ndani ya timu ya watu 32 iliyoundwa na mwenyekiti wao wa chama taifa, na wanatamani kutoka muda wowote huko lakini wanaogopa.

Kwahiyo mwanajukwaa ni hayo tu niliyoyachota mahali japo sijathibitishiwa ukweli wa hayo zaidi ya kuambiwa kua kuna kitu kama hicho, Mimi na wewe hatuna jibu kamili tusubiri muda ufike tusikie.
 
Yes, akili za kuambiwa ngoja tuchanganye na za kwetu.

Lisemwalo....?.
 
Safina ya nuhu inakaribia kung'oa nanga ,waambie wawahi mapema kabla hatujaghaili halafu wakose kotekote

Kumbe ndicho alichokwenda kusisitiza kule kanisani Tabora mgombea wenu kwamba walutheri wajiandae kuingia ndani ya safina!! Haya kama kwa udini huu tutafika sijui!!
 
Nawaje tuu wasije patwa na aibu itakayo mpata baba riz; kinana na napi maana baada ya october ccm itasambaratika vibaya kiasi kwamba hata magufuli na wengine wngi watajiunga na ukawa ili tuukamilishe mchakato wa rasimu ya warioba ambao ulifukiwa na genge la mafisadccm, na waje bado ni mda mwafakana hili litawafanya dr mihogo na kapumba wajione mavi kabisaa.
 
Hakuna kitu kama hicho isipokuwa kilichopo ni kuwa Ukawa kuna mgogoro unatokota na soon kuna kitu kitalipuka. Wengi mtakuwa mmeobserve ukimya uliopo huko karibuni, sasa hii rumour itakuwa ni tactic ya kutuzubaisha wakati wakijaribu kufunikafunika uozo unaosambaa. Mtakuja kuniambia.
 
hakuna kitu kama hicho isipokuwa kilichopo ni kuwa ukawa kuna mgogoro unatokota na soon kuna kitu kitalipuka. Wengi mtakuwa mmeobserve ukimya uliopo huko karibuni, sasa hii rumour itakuwa ni tactic ya kutuzubaisha wakati wakijaribu kufunikafunika uozo unaosambaa. Mtakuja kuniambia.

zingatia oparesheni toroka uje ndipo useme!
 
ungesubiri october ili ulete hii taarifa ingekuwa na mashiko zaidi
 
Eti wakuu, hivi ile video clip ya Geita ni kweli au la!!? Mpaka leo bado nashangaa mjue!!
 
Back
Top Bottom