Bundi kulia usiku ina maana gani?

Bundi kulia usiku ina maana gani?

Wewe hapo ulipo kama upo Kijijini mvizie ule Muda wake wa Kuliamsha Dude, toka na Kijinga cha Moto uliokolea huku kwa mbaali kinatoa moshi, basi Mrushie eneo lile alilokaa akikurupuka hapo hilo Chimbo hatarudi tena labda Kizazi chake ila si yeye!!!
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom