GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
Title ya thread yako ni nzito ukilinganisha na content. Ki msingi umeilaumu Chadema kutokana na matendo ya Shibuda. Hapo umekosea sana, umekurupuka. Tafakari yafuatayo
1. Chadema ni taasisi iliyokaa kimfumo. Ukileta upuuzi kwenye taasisi iliyokaa kimfumo mfumo utaku-phase out automatically
2. Kama chama kilichojijenga ambacho msingi wake ni watu watu kama Shibuda hukijenga chama na hakika hakitasambaratika
3. Dhamira, malengo na nia binafsi walizonazo viongozi na wanachama wa chadema haviwezi kukiteteresha chama
4. Kadiri CCM wanavyo perform poorly na chadema kubainisha mapungufu hayo kisayansi ndivyo credibility ya chadema inavyopaa
5. Ipo project inayofadhiliwa kwa nguvu zote na CCM ya kuhakikisha Chadema inakufa lakini kutokana na sababu ya 1 hapo juu yote hayo yamebainika na chama linasogea.
Yapo mapungufu katika kuipresent hoja ya posho na nadhani chadema hawakujipanga kama chama toka mwanzo na kwenye hilo wameteleza kidogo lakini huwezi ku conclude eti bundi amepewa kigoda(amekaribishwa) chamani.
Kama lengo la kuweka title ya hivyo ili watu wafungue waisome basi na wewe umeteleza. Ume-water down fikra zangu juu yako kuhusu dhamira yako kwa chadema. Title yako imekaa kiudaku udaku.Nikukumbushe tu kuwa wewe sio wa kwanza kutaka kuuaminisha uma kuhusu huyo Bundi. Yaliandikwa, yakaandikwa lakini hadi sasa bundi hasikiki. Lakini hilo halimanishi kuwa chadema hakukuwa na migogoro au kupishana ki mtazamo. Hi huo utaasisi ambao unaupuuza sasa uliofanikisha chadema kuvuka vigingi vizito na vikali. Ni mwehu pekee anayeweza kuignore mfumo wa kiutawala na wa kitasisi wa chadema. Nikuhakikishie, chadema inamfumo mkali wa kiintelijensia ambapo threat yoyote kwa chama huwa detected haraka na hushughulikiwa accordingly. Mifano ipo na wengine wanafahamika.Lakini njia na taratibu zinazotumiwa na chdm kutatua migogoro ya ndani ni thabiti.Pamoja na hayo yote bado chadema inagroom vijana kitaasisi kuja kuwa viongozi madhubuti wa chama na taifa baadae.Hiyo ndio taasisi, na taasisi ya namna hiyo haifi! Mtaendelea kutoa dua la kuku kila siku. Hakuna bundi chadmaThats all about art...unadhani bila hiyo heading ungefungua kusoma hapo ndipo tofauti yangu na wewe...Taaluma zinapishana.Turejee katika hoja, soma kwa umakini hiyo thread... maelezo yaliyopo hapo yana ujembe mzito wa mtu anayesoma kwa kutafakari na jicho la tatu na wala si husky reader.Hata hivyo finally umetoa mawazo mkuu...Tunathubutu kusema bila uoga, suala la Taasisi sitaki kulisikia, maana mie si wa kuhubiriwa uimara wa CDM nataka tusafishe uozo huu uliopo kwa sasa.
Huyu mkuu amejiunga JF 10/6/11 yaani siku 19 tu zilizopita, anapost 184 na amejishukuru mara 40 kwenye post 23!!
Lakini kitu gani hasa kinamfanya huyu mkuu aweweseke namna hii? raia wa nchi hii wamefaidikaje na miaka 50 ya ccm madarakani?
1. Umeme
kwenye hii dunia ya karne ya 21 ya sayansi na technologia, vijiji vingapi vya nchi yetu vina umeme?
2. Afya
ni aibu kubwa hadi leo baadhi ya wake zetu kudhulika kwenye uzazi, matitizo kama ya Fistula (VVF) yalishasahauliwa kabisa kwenye nchi zilizoendelea na zinazoendelea, actually ni mojawapo ya vipimo ya nchi fukara isiyoweza kuwapatia wananchi wake huduma za afya. Hapo hujaongezea na kipindupindu, surua, malaria, TB, utapia mlo nk magonjwa ya umasikini ambayo yanaendelea kushamiri tanzania miaka 50 ya kujitawala, Hospitali mbovu, chafu, zisizo na vifaa vya kisasa? madaktari uchwara kitaaluma (daktari aliyesoma Muhimbili ni daktari UPE, yaani ni kama wale walimu wa UPE wakati wa mwalimu)
3. Elimu
tujilinganishe na majirani zetu Kenya na Uganda. Sisi tuna elimu mdundiko
4. Usafiri
reli?, ndege?, barabara za lami? viwanja vya ndege? meli? usafiri wa mijini? ustaarabu wa kupanda vyombo haba vya usafiri yaani watu wazima kupigana vikombo wakati wa kuingia kwenye madaradara au mabasi? utumiaji wa magari mitumba na uchafuzi wa hewa mijini (air pollution)? wachache wanaweza kununua magari mapya? Mkuu naomba uwambie ccm waache mara moja kukiita kiwanja cha ndege mwanza International Airport, pamoja na kwamba watanzania ni mazezeta lakini uzezeta mwingine kama huu wa kukiita hiki kiwanja cha mwanza international airport unavuka mipaka.
6. Maji
Haa haaa haaa haaaa! pamoja na kuwepo mito, maziwa, bahari na mvua zinazo sababisha mafuriko, nchi haiwezi kutoa huduma ya maji bora hata kwenye makao makuu yake? Haa Haaa Haaaaaa Haa aha!!!!!!!! achilia mbali vijijini. rafiki yangu kijijini kwao ni pembeni mwa ziwa victoria, mwezi uliopita alitumia millioni 2 kuchimba kisima nyumbani kwao???? sasa anatafua solar ya umeme na pump ya maji, jamani ile kitu inayoitwa serkali iko wapi?
5. Makazi ya watu
unplanned, mitaa ya vumbi na matope isiyo na taa? Hakuna sewage system, kila mwenye kujenga nyumba anajenga septic tanks na kuishi na mavi yake mwenyewe uani kwake
6. wafanyakazi wa serkalini
wavivu? wana elimu duni, hawajui wanachofanya? hawalipwi mishahara inayokidhi mahitaji yao ya kimaisha? kila mfanyakazi wa serkali ni potential thief?
7. viongozi wa ngazi za juu serkalini (raisi, mawaziri, makatibu wakuu nk)
elimu duni (elimu ya tanzania), uwezo mdogo, hawajui walitendalo
8. Maisha ya mwananchi wa kawaida kijijini
Ni jehanamu, hakuna anayejali, ujanja ni kukimbilia mijini na kuwa machinga wenyewe wanasema "tutabanana humu humu"?
Mkuu sababu gani hasa inakufanya uwachukie wale ambao wanajaribu kubadilisha hii hali angalau iwe nafuu kwa watu? Future ya nchi hii ipo namna hii:
1. As long as ccm wako madarakani hali na maisha ya watanzania yatabakia ama kama yalivyo au kudidimia zaidi
2. vyama vingine vikipata nafasi ya kuunda serkali vinaweza kurekebisha kasoro za ccm na kuinua maisha ya watu au vinaweza kuwa worse than ccm.
Sasa hapa ndipo panapo hitaji maarifa yaani uogope kuchukua hatua na uendelee kudumaa na kudumaa zaidi au uchukue hatua ambayo inaweza kukuinua au kukuangamiza kabisa. The future belongs to the brave and those who dare to take risk. Hata kwenye biblia bwana Yesu alitoa mfano ya taranta, yule mtumishi aliyepewa taranta moja akaogopa kuitumia na kuishia kuifukia ili mkuu wake atakaporudi amkabidhi talanta ileile alilaaniwa kwa kufanya hivyo siku mkuu wake aliporudi, alinyanganywa taranta na akapewa yule ambaye alichukua risk ya kuzifanyia biashara talanta za mkuu na kutengeneza faida.
Kama lengo la kuweka title ya hivyo ili watu wafungue waisome basi na wewe umeteleza. Ume-water down fikra zangu juu yako kuhusu dhamira yako kwa chadema. Title yako imekaa kiudaku udaku.Nikukumbushe tu kuwa wewe sio wa kwanza kutaka kuuaminisha uma kuhusu huyo Bundi. Yaliandikwa, yakaandikwa lakini hadi sasa bundi hasikiki. Lakini hilo halimanishi kuwa chadema hakukuwa na migogoro au kupishana ki mtazamo. Hi huo utaasisi ambao unaupuuza sasa uliofanikisha chadema kuvuka vigingi vizito na vikali. Ni mwehu pekee anayeweza kuignore mfumo wa kiutawala na wa kitasisi wa chadema. Nikuhakikishie, chadema inamfumo mkali wa kiintelijensia ambapo threat yoyote kwa chama huwa detected haraka na hushughulikiwa accordingly. Mifano ipo na wengine wanafahamika.Lakini njia na taratibu zinazotumiwa na chdm kutatua migogoro ya ndani ni thabiti.Pamoja na hayo yote bado chadema inagroom vijana kitaasisi kuja kuwa viongozi madhubuti wa chama na taifa baadae.Hiyo ndio taasisi, na taasisi ya namna hiyo haifi! Mtaendelea kutoa dua la kuku kila siku. Hakuna bundi chadma
Kumbe unaleta hoja ya nguvu?! Endelea kulisema[/QUOTE
Ahsante umenielewa, nilistushwa juzi na mbunge mkongwe anayejua fitna ya siasa anapata nafasi ya kushukuru anamtaja mke wake na mwenyekiti wa chama anasahau kama alikuwepo mgombea uraisi aliyeshiriki nae katika mikutano mingi iliyompa heshima hadi kushinda ubunge kwa mikutano minne ya kampeni.
Na yeye aliiona minne akishau coverage ya media aliyoipata wakati akizunguka na msafara wa PhD, NASHUKURU Mjadala unaoendelea ni kumundosha.
Watanzania wameishatuelewa hata kama utafanyika uchaguzi mdogo bado jimbo litabaki CDM
Hayumkini ni nadra sana kwa mtu mwenye akili timamu ukiambiwa hatari inakuja huwezi kuwa kama tomaso ambaye mpaka aliposhika ndo akasadiki hakika huyo alikuwa Masihi.
Taifa la leo hatuhitaji waleta mabadiliko matomaso wanaosubiri kushika ndio wasadiki kwa kile walichokiona, CDM bundi anaunguruma kwa kasi sana, unafiki na kukosekana kwa mipango, umaarufu binafsi na uzandiki vinakitafuna chama.
Mgongano wa misimamo katika agenda za Chama na kukosa mwelekeo katika masuala ya kiutendaji yanatulazimisha kupaza sauti zetu na kufungua jicho la tatu kutazama kwa kina ni nini kinatayarishwa hapa na wapi tunakwenda.
Kuruhusu mamluki kubeba bendera kusaka ridhaa ya watanzania kwa kisingizio ati wamegundua kutokuwa na mfumo wa utawala mzuri walipotoka athari zake sasa zinaonekana.
Tuliyatilia mashaka haya muda mrefu bado matomaso wakafumba macho na kushabikia upepo sasa kwa hali tuliyopo tunahitaji kuthubutu kusema Bundi lazima aondoshwe kwa namna yoyote CDM.
Kuna haja ya kujipanga upya, kauli za hamaki na maazimio ya kukurupuka bila kutathimini athari zake yanazidi kukiweka chama njia panda.
Ujira wa Mwia ni mfano mzuri, huyu alikuwa wapi kama keli kilifanyika kikao cha chama kujadili haya. Tunakwenda kule kule kwa chama dola kusutana kila siku katika vyombo vya habari kama wanapeana mipasho ya Taarab.
Atakayeendelea kushabikia ujinga nafasi na muda ni wake lakini hapa tunapaza sauti kwa mapenzi mema kabisa kwa mustakbali wa watoto na wajukuu wetu, hatuchangi mawazo katika forum kama kijiwe cha kahawa tunajaribu kutafuta mustakabli mzuri wa Tanzania yetu ya baadeye.
Come on guys! wake up, kuna tatizo hapa limefichika linahitaji kushighulikiwa haraka chama kimepoteza stability.
Hii ndo hoja ya nguvu sasa, unaposema CDM mmeisimamisha nyie, maana yake unafahamu zaidi kuliko sisi wengine wote, Kiuhalisia unatuambia tusikubishie wala kuihoji dhamira wala maudhui ya hoja yako.Unazunguka nje ya Hoja ya msingi ambayo tunahitaji kuishughulikia, for your information CDM tumeisimaisha sisi (Sihitaji unihoji kivipi). hili linaloendelea sasa ni siasa chafu na litakidhoofisha chama. Tusimame imara kunusuru huyu Bundi na hatuwezi kuchoka kulisema hili mpaka kutabadilika
Hii ndo hoja ya nguvu sasa, unaposema CDM mmeisimamisha nyie, maana yake unafahamu zaidi kuliko sisi wengine wote, Kiuhalisia unatuambia tusikubishie wala kuihoji dhamira wala maudhui ya hoja yako.
Sasa mkuu, si uende kuwaeleza hao mlioisimamisha nao CDM ili kuishughulikia? (by the way, CDM ilishawahi kuwa down lini?) hapa utasema mimi sijui kwa sababu wewe unahusika sana?!!
Mkuu umekwenda off the point, sihitaji hizo data nachojaribu kukifanya hapa tunahitaji CDM imara na si mafungu na ufa unajionyesha dhahiri hayo yote uliyoyaorodhesha hapo juu yatasimamiwa na nani kama CDM itabaki mapande.
Jana Mwenyekti katangaza kufukuzwa kwa Shibuda, ina maana hatuna vikao wala suala la posho halikujadiliwa.
Pili nikikukumbushe JF si Tanzania wala si CDM wala si Siasa, so kuiujnga mapema au kuchelewa hakupimi ufahamu na uelewa wa mambo simama katika hoja Mkuu
Kwenye hii mistari umeongea cha maana sana!
CDM bundi anaunguruma kwa kasi sana, unafiki na kukosekana kwa mipango, umaarufu binafsi na uzandiki vinakitafuna chama.
Mgongano wa misimamo katika agenda za Chama na kukosa mwelekeo katika masuala ya kiutendaji
Atakayeendelea kushabikia ujinga nafasi na muda ni wake lakini hapa tunapaza sauti kwa mapenzi mema kabisa kwa mustakbali wa watoto na wajukuu wetu, hatuchangi mawazo katika forum kama kijiwe cha kahawa tunajaribu kutafuta mustakabli mzuri wa Tanzania yetu ya baadeye.
Title ya thread yako ni nzito ukilinganisha na content. Ki msingi umeilaumu Chadema kutokana na matendo ya Shibuda. Hapo umekosea sana, umekurupuka. Tafakari yafuatayo
1. Chadema ni taasisi iliyokaa kimfumo. Ukileta upuuzi kwenye taasisi iliyokaa kimfumo mfumo utaku-phase out automatically
2. Kama chama kilichojijenga ambacho msingi wake ni watu watu kama Shibuda hukijenga chama na hakika hakitasambaratika
3. Dhamira, malengo na nia binafsi walizonazo viongozi na wanachama wa chadema haviwezi kukiteteresha chama
4. Kadiri CCM wanavyo perform poorly na chadema kubainisha mapungufu hayo kisayansi ndivyo credibility ya chadema inavyopaa
5. Ipo project inayofadhiliwa kwa nguvu zote na CCM ya kuhakikisha Chadema inakufa lakini kutokana na sababu ya 1 hapo juu yote hayo yamebainika na chama linasogea.
Yapo mapungufu katika kuipresent hoja ya posho na nadhani chadema hawakujipanga kama chama toka mwanzo na kwenye hilo wameteleza kidogo lakini huwezi ku conclude eti bundi amepewa kigoda(amekaribishwa) chamani.