Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Hbari ya kupigana jana unaileta leo kama sio majungu ni nni???
SINA IMANI NA UKAWA
UKAWA magumashi sana
Hbari ya kupigana jana unaileta leo kama sio majungu ni nni???
SINA IMANI NA UKAWA
Quoted by veteran kada of CCM Kingunge Ngombale MwiruDr.Magufuli ni mgombea wa kitengo.
Ndoroobo kweli ww mleta mada...wapigane mpaka mtu alazwe hata kapicha hakuna na smart phone zilivyoo jaa mjini??...
kama ccm walivyompiga kalokola kule tangaAcha wauwane tu wendawazimu hawa wanafanya siasa kuwa vita.
Acha wauwane tu wendawazimu hawa wanafanya siasa kuwa vita.
Ni kweli tuko kipindi cha hatari ya uchaguzi, Basi jitahidini kuleta habari zenye mantiki, ukweli na Ushahidi (Picha), Vinginevyo ni Uongo mtupu[/QUOTE nexus white kama huamini naomba umpigie mwana ukawa wa Bunda imuulize chanzo cha ugomvi ili uelewe.
Laivu kiongozi, yaani tungepata chama cha uhakika chenye nia ya dhati ya kuiondoa hili dudu SISIEM madarakani, ingekua poa sanaUKAWA magumashi sana