Tangu enzi ya Mwl yupo.Safi sana ndugu wananchi , huyo wasira aibu ameitaka mwenyewe tu , haiwezekani mtu mmoja ang'ang'anie ubunge kuanzia hatujazaliwa mpaka tunapata wajukuu , aibu ameitaka mwenyewe .
Na wanakuja na hadithi hizo hizo mwaka huu. Ushauri wangu ni huu. Wakija na Rushwa, chukueni, kula. 25 Octoba Kura weka UKAWA.Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.
Hv kipindi wasira anatoa ahadi za maji...bulaya
Alikuwa mbunge pia..alichangia nn ktk baraza la madiwani?
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.
Niliwai kuandika kwnye ukurasa wangu wa fb kuwa wasira ana miaka zaidi ya 25 mfululizo akiwa mbunge lkn kashindwa kujenga hata choo cha shule huyo ha2fai kasababisha wilaya imekuwa masikin kuliko zote tanzania,mabadiriko ni mhimu mwaka huu,
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.
[h=3]Twende na Dr JP Magufuli mpaka kieleweke 2015[/h]
![]()
![]()
![]()
![]()
Viongozi wetu wote wanamuidhinisha na wanampigia Kura Mh. Magufuli