Bunda tumeamua kuipiga CCM chini

Bunda tumeamua kuipiga CCM chini

Amekaa vipindi vyote 4 vya utawala lkn hakuna cha kujivunia,kweli wananchi wa musoma waliona mbele kumchagua mbunge wa cdm
 
Hapo mtakuwa mmejikomboa! Na hiyo ndiyo njia pekee ya kujikwamua kwenye matatizo
 
Tumechoka kuwachwa vitandani saa kumi na mbili alfajiri kwenda kuchota maji
 
Tumemchoka kabisa kwani hakuna anachotufanyia zaidi ya maneno tu

Malofa na Wapumbavu.....upepo wa Steven Wassira ni Noma.....wataisoma namba Akina Bulaya anazunguka na ma body guard sasa Mbunge wa Watu Ulinzi wa hivyo iweje....asilimia tisini Kura kwa Wasira safari hii
 
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.

Utasubiri sana
 
Mura watu wa Bunda hawapepesi macho ni wakweli. Ng'oa hao gamba. Ng'oa Wasira , ng'oa gamba.
 
Malofa na Wapumbavu.....upepo wa Steven Wassira ni Noma.....wataisoma namba Akina Bulaya anazunguka na ma body guard sasa Mbunge wa Watu Ulinzi wa hivyo iweje....asilimia tisini Kura kwa Wasira safari hii

Wewe ndio hujui nini unakiongea,sisi wanabunda ndio tumeamua kumpiga chini wasira na kumchagua Bulaya
 
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.

Safi sana ndugu wananchi , huyo wasira aibu ameitaka mwenyewe tu , haiwezekani mtu mmoja ang'ang'anie ubunge kuanzia hatujazaliwa mpaka tunapata wajukuu , aibu ameitaka mwenyewe .

Nyie watu wawili inaonekana hamuwezi hata kushawishi wakezenu wapigie kura chadema....bure kabisa
 
Back
Top Bottom