We lofa mbona unahangaika sana mara mkazi wa Bunda mara mkazi wa Mbeya,tukuelewe vipi Mmawia kwao Mtwara,acha kuhangaika kama kuku anayetaka kutaga.Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.
Mpige chini akamate adabu maan ccm wameishajiaminisha kuwa wao nchi hii ndiyo wenye haki kuila wengine no kwa nn? Piga chini mpe bibie bulaya angalau ana heshima na utu. Piiiiiposssss! Lowasa !mabadiliko na mabadiliko Lowa saaaa!
Fisadi ndiye unayempigie debe awe raisi wetu ili alipe madeni ya hela alizokuwa akichangiwa na marafiki zake akidhani CCM watamteua.Mfia nchi au mfia ufisadi?
Malofa utawajua tu wala hawajifichiSiyo kosa lako akili zako kudumaa,hayo ni madhara ya elimu ya mulugo,ngiri wee
Na mimi ni wa Balili bunda, mzee wa gombe hatutaki hata kumsikia kabisaaa.Hivi uko bunda uko peke yako? Kila siku wewe ni chuki tuuu. Utadhani vikatio vyote vya wabunda unalala navyo. Kaa ukiota hivo hivo.
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.
Chadema Bunda wametimuana baada ya kumpitisha "mwana ccm" kugombea ilihali alishindwa kura ya maoni.
Ccm itapigwaje chini sasa na timu hiyo?