Bunda tumeamua kuipiga CCM chini

Bunda tumeamua kuipiga CCM chini

Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.

wewe si mkazi wa bunda hâta kidogo,sijui unamdanganya nani.
 
Hivi uko bunda uko peke yako? Kila siku wewe ni chuki tuuu. Utadhani vikatio vyote vya wabunda unalala navyo. Kaa ukiota hivo hivo.

huyo si mkazi wa bunda,ametumwa na ukawa kushinda humu masaa 24 kupiga kampeni.
 
Mimi ni mkazi wa bunda nakuomba mihemuko ya siasa hisikuondoe akili kwani huwezi kumpangia mtanzania sehemu ya kuishi
 
pole wewe unaedanganya watu,ina maana umejiandikisha karibu kila wilaya na mkoa?

Kujiandikisha kunahusiana vipi na asili yangu?au wewe kwako anaye amua kutoipigia ccm kura basi ni mtu muongo?
 
Mimi ni mkazi wa bunda nakuomba mihemuko ya siasa hisikuondoe akili kwani huwezi kumpangia mtanzania sehemu ya kuishi

mihemuko ya siasa ndio kitu gani,silipwi wala kulishwa na siasa,but narudia tena wewe si mkazi wa bunda.
 
Namimi nakwambia kuwa mimi ni mkaazi wa bunda na ukweli ni kuwa safari hii tumedhamilia kuwachagua wapinzani ili watuletee maendeleo kama walivyo nufaika wakaazi wa musoma
 
Kujiandikisha kunahusiana vipi na asili yangu?au wewe kwako anaye amua kutoipigia ccm kura basi ni mtu muongo?

wewe si mkazi haimaanishi asili yako,inamaanisha huishi bunda na hujajiandikisha huko.
 
Mimi nipo bunda nimejiandikisha bunda na kura nitapigia hapa bunda na kampeni zinaendelea kuhakikisha tunawachagua wapinzani na kumpiga chini tyson
 
Namimi nakwambia kuwa mimi ni mkaazi wa bunda na ukweli ni kuwa safari hii tumedhamilia kuwachagua wapinzani ili watuletee maendeleo kama walivyo nufaika wakaazi wa musoma

maendeleo gani mmefanya musoma?wonders shall never end.
 
Wamefanya cdm mambo mengi ya kujivunia kuliko huyu mbunge wetu hapa bunda kashindwa hata maji wakati alikuwa waziri mwandamizi,tunamuadhibu mwaka huu
 
Mimi nipo bunda nimejiandikisha bunda na kura nitapigia hapa bunda na kampeni zinaendelea kuhakikisha tunawachagua wapinzani na kumpiga chini tyson

Mmawia uzuri wewe ni msahaulifu,nitakukamata sehemu tu na nitakukumbusha.hivi ester bulaya alisoma shule gani hapo bunda?
 
Wamefanya cdm mambo mengi ya kujivunia kuliko huyu mbunge wetu hapa bunda kashindwa hata maji wakati alikuwa waziri mwandamizi,tunamuadhibu mwaka huu

sijakataa wasira hakufanya kitu,but narudia palepale wewe si mkazi wa bunda,nishasoma baadhi ya post zako unadanganya.
 
Mmawia uzuri wewe ni msahaulifu,nitakukamata sehemu tu na nitakukumbusha.hivi ester bulaya alisoma shule gani hapo bunda?

Mbona uniniingiza kwenye kazi nyingine kabisa ambayo ipo nje ya jukumu langu?jukumu langu ni kupiga kura na kumkataa kiongozi mbabaishaji,na kumpigia kura kiongozi anayechukizwa na matatizo ya wana bunda,naye ni binti Bulaya
 
sijakataa wasira hakufanya kitu,but narudia palepale wewe si mkazi wa bunda,nishasoma baadhi ya post zako unadanganya.

Nilini nilisha post juu ya wasira?nimepost juu ya wasira kipindi hiki ambacho ni kuelekea uchaguzi,kuwa kulingana na mikutano na wana wa bunda tumeonelea na kudhamilia kumchagua Bulaya wa cdm na kumpiga chini wasira
 
Mwaka huu tunamfukuza kichaa na makopo yake. Yani mwanzo mwisho tunaweka tik kwa UKAWA.
 
Back
Top Bottom