Bunda tumeamua kuipiga CCM chini

Bunda tumeamua kuipiga CCM chini

Mkuu tumeamua kuwamwaga wagombea wote wa nafasi zilizoombwa kuanzia udiwani hadi urais na ubunge tunawapa cdm
 
Few hours ago, workers working on building UKAWA STAGE For Tomorrow Official Campaign Launch were banned to Continue their work by Police Force. News trending social media said, Police enquired them to hand over their Construction Permit otherwise they wont have a chance to Continue their work.

Well am not much into Politics but I kindly need to advice the Government that Not each and everything is bond in their Power some stuffs weight more than they can Imagine. All things that happening against UKAWA are indirect POSITIVE CAMPAIGN And probably the ruling party might loose their honest voters who would be victim of sympathy to the Opposition. Well am sorry If my am wrong but I SUPPORT LOWASSA, CHADEMA AND UKAWA Is My Strongest Pillar.

*PS Am sorry If I am poor in English, I had to use English to make sure the whole world get attention on Tanzania General Election 2015, a Country believed to be too democratic.

#Tanzania #UKAWA #teamlowasa
#lowasa #CHADEMA #M4C #MovementForChange #26464 #255 #BreakingNews #BBC #CNN #Aljazeera #UnitedNation #Democracy #EastAfrica #Kenya #Uganda #Burundi #Rwanda
 
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga ccm chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya ccm baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.
Kwanza mpaka hapo mlipo mnatia aibu mpaka majimbo jirani yanawashangaa !!! Mnawakilsihwa na Mbunge mmoja miaka ypte hiyo ina maana hakuna mwingine zaidi yake.
 
Kwanza mpaka hapo mlipo mnatia aibu mpaka majimbo jirani yanawashangaa !!! Mnawakilsihwa na Mbunge mmoja miaka ypte hiyo ina maana hakuna mwingine zaidi yake.

Mkuu kwa sasa tumeamua na mwenyewe wasira anajua kuwa anamsindikiza binti Bulaya
 
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.
Inamaana mbunge wenu alikuwa ile mali asili kutoka Gombe ?
 
mzee mbunge tangu miaka ana miaka 25. Bunda ndio wilaya ya mwishomwisho kwa mapata. Yaani inatumia kikubwa kuliko inachoingiza kwenye pato la taifa. Huu uwe mwisho wa kuchagua bendera na chama.
 
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.

Hivi uko bunda uko peke yako? Kila siku wewe ni chuki tuuu. Utadhani vikatio vyote vya wabunda unalala navyo. Kaa ukiota hivo hivo.
 
Mkuu Mmawia kama muwakilishi wenu alikuwa ni mzee wa Gombe mnatakiwa abadilishwe mara moja

Hilo halina shaka ndii maana sasa hivi huyu Tyson ameamua kutembeza mkongoto kwa kutumia ngumi kwa kila anaye mpinga
 
Last edited by a moderator:
Hivi uko bunda uko peke yako? Kila siku wewe ni chuki tuuu. Utadhani vikatio vyote vya wabunda unalala navyo. Kaa ukiota hivo hivo.

Amini nakwambia na utakuja kuamini siku ya kutangaza matokeo
 
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.

Waambieni wawaogope CCM kama ukoma na wafundisheni namna ya kupata mabadiliko kupitia Ukawa.
 
Waambieni wawaogope CCM kama ukoma na wafundisheni namna ya kupata mabadiliko kupitia Ukawa.

Hivi ninavyo ongea tupo na vikao muhimu kuhakikisha mambo yanaenda sawa na siku ya kutangaza matokeo huyu mzee ataangusha kilio
 
Back
Top Bottom