Bunda Kumekucha, ni uchaguzi mdogo wa madiwani

Enyi Magamba msio na akili, hebu tuambieni; huyo mgombea wa CDM kuitwa Wasira amevunja sheria gani ya nchi? Mimi nina mtoto wa kiume, kwa kumu-admire Dr. Slaa, nimemwita Wilbrod Slaa. Jee nina kosa gani kisheria? Sio tu tunapelekana pelekana kama magari mabovu enyi Mizigo party.

mkuu umenifurahisha kumpa mtoto jina full la dr slaa, hakika atarithi busara za president to be!
 
Back
Top Bottom