Bumbuli ,kinondoni na ludewa

Bumbuli ,kinondoni na ludewa

Kwa hiyo Chanyegea anarudi kwenye game kule Bumbuli sio? Magoli ya mkono yamekataliwa asubuhi mapema !!!!!!!
 
Hili lako wewe mbona upendi maendeleo hata waliokata rufaa walikuwa wanaogopa kushidwa
 
Kama ni kweli nimefurahi sana, tena kupita maelezo.

Huu ujinga wa CCM kuweka pingamizi ni primitive sana.
 
Wagombea wa ukawa wameshinda rufaa zao ...rufaa nyingine zinaendelea kusikilizwa

Naomba taarifa maana nimekuta AZAM TV wakimalizia kuhusu JAFFAR aliyewekewa pingamizi na CCM hali ikoje mkuu wangu wameamuaje hawa jamaa
 
Back
Top Bottom