Bumbuli ,kinondoni na ludewa

Bumbuli ,kinondoni na ludewa

Huyu Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Hebu simama upande wa watu wako Ukawa. Wakati wao wanaamini kafara sisi tunakuamini ww uliyemkuu mfalme wa wafalme
Pia malaani Filikunjombe, Muhagama na Makamba
 
Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi.
Mshindi akipatikana kwa haki safi sio kwa goli la mkono. Tarehe 25.10.2015 wananchi wataamua. Tatizo ni wale wasimamizi wa uchaguzi waliopindisha sheria mchana kweupe!!!! Wataaminika vipi hawa?
 
Ni wajinga tu ndio wanafanya michezo michafu ya kununua na kufanya fitna ili wapite bila kupingwa. Let people vote....
Kwa kinondoni, ccm ijipange vema.
 
Jioni yangu itakwenda vizuri leo baada ya kusikia jimbo la bumbuli hakuna kupita bila kupingwa. Huyo January anajifanya bonge la kichwa lakini in reality hana uwezo wala mvuto kwa wapiga kura ndio maana anataka miaka 10 awe mbunge bila ushindani. Kama vipi angoje apewe viti maalum kwani ni mtu aliyezoea kubwebwa tu.
 
  • Thanks
Reactions: aye
walitaka wanyima wapiga kura haki yao
 
Daaah ili la kinondoni nimefurahi sana aisee sasa UKAWA kinondoni tunaamani na tutashinda tu tarehe 25 oktoba tujitokeze wanakinondoni kuipigia kura UKAWA
 
Itakuwa faraja kubwa sana kama wananchi wa Bumbuli watatupa kule huyu mtu aitwaye January
 
Back
Top Bottom