NZALAMALENGA
Senior Member
- Nov 18, 2014
- 141
- 25
Habari humu,
Kwa furaha kubwa Wanabumbuli wamekuwa na maelekezo kwa kila kiongozi wa chama cha mapinduzi kuwa safari hii hawata kubali kijana wao msomi ndg.Abdul aka KANIKI kutokuwa Mbunge wao.
Moja ya sababu ya kijana huyu kukubalika ni kuwa yeye anashughuli zake na makazi pale pale Jimboni tofauti na aliyepo sasa,hii imempa muda wa kutosha kushiriki kutafuta suluhisho la mambo mbalimbali ikiwa nipamoja na Kiwanda cha Chai pale Jimboni.
Hongereni sana watu wa Bumbuli kwani chaguo lenu lipo sahihi.