Bulembo amtaka Lowassa aache kung’ang’ania siasa

Kiungo TUMBO ni kiungo cha AJABU SANA.
 
*MAN UTD KAMA FUNDI CHEREHANI ANAENDESHA LAKINI HAENDI*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bulembo :"wapinzani wataruhusiwa kutumia barabara, maji Lakini sio kwenda ikulu "
BILA KATIBA MPYA, TUME HURU, BILA UPINZANI KUWA NA DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA VYAMA VYAO BASI HIO KAULI NI KAMA INA UKWELI
MY TAKE CHADEMA CHINI YA MBOWE Imehadaa watanzania. Unaweza kudhani ni kitu kidogo walikosea walivyobadili Gia Lakini ukweli ni kwamba watanzania baadhi wenye akili nzuri wamewadharau Sana... Imefika Muda tuwaambie ukweli.. Lowasa Hana nguvu za kuwa mgombea rais wala mbowe.. Inahitaji mtu msafi mwenye uwezo wa kujenga hoja... Kiukweli rais magufuli Pamoja na mapungufu Yake mengi Ila Sura na mwili wake tu umependezea na umefit kuwa mkuu WA nchi... Haya ni maoni yangu tu binafsi... Mojawapo ya vitu vya kuiga toka CCM ni PAMOJA NA upatikanaji wa mgombea maccm wako na demokrasia Sana nadhani Africa yote CCM ipo kwenye list ya VYAMA venye Mchakato huru na wazi

NAdhani anayehadaa watanzania ni serikali ya CCM kwa kujifanya inapenda upinzani lakini in actual fact hakuna kitu kama hicho.

Ningemshauri Bulembo kabla hajatamka maneno ya ubaguzi moja kubwa hata wapinzani ni watanzania.Asiringie jeshi na mahakama,kama Mpinzani angeongea aliyoongea Bulembo leo tungekuwa tunazungumza mengine.

Wakitengeneza maneno ya uchochezi CCM ni ya baraka wakiyaongea Upinzani uchochezi.Hakika tunakoenda tutafika
 
Bulembo :"wapinzani wataruhusiwa kutumia barabara, maji Lakini sio kwenda ikulu "
BILA KATIBA MPYA, TUME HURU, BILA UPINZANI KUWA NA DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA VYAMA VYAO BASI HIO KAULI NI KAMA INA UKWELI
MY TAKE CHADEMA CHINI YA MBOWE Imehadaa watanzania. Unaweza kudhani ni kitu kidogo walikosea walivyobadili Gia Lakini ukweli ni kwamba watanzania baadhi wenye akili nzuri wamewadharau Sana... Imefika Muda tuwaambie ukweli.. Lowasa Hana nguvu za kuwa mgombea rais wala mbowe.. Inahitaji mtu msafi mwenye uwezo wa kujenga hoja... Kiukweli rais magufuli Pamoja na mapungufu Yake mengi Ila Sura na mwili wake tu umependezea na umefit kuwa mkuu WA nchi... Haya ni maoni yangu tu binafsi... Mojawapo ya vitu vya kuiga toka CCM ni PAMOJA NA upatikanaji wa mgombea maccm wako na demokrasia Sana nadhani Africa yote CCM ipo kwenye list ya VYAMA venye Mchakato huru na wazi
Aiseeeeee huyu Bulembo c ndo yule std 7 aliye mng`oa Dr.posi baada ya kuonekana mkulu kavunja katiba! mwambie kwa Lowassa umechenka ulivyomtukana wakati wa kampeni inatosha vinginevyo umwombe radhi la sivyo batch 2 itakuhusu
 
Huo ndo msimamo wa ccm kwamba hata upinzani ukishinda hakuna kwenda ikulu. Kauli kama hiyo imetolewa na wana ccm. Halafu huyo mzee alivyo hamnazo anaongelea chaguzi za urais na ubunge wakati yupo kwenye kampeni ya udiwani.
Kamwulize Yahaya Jamer wa gambia atakuambia wapinzani wakishinda huwa inakuwaje
 
Luwasa ni noma. Hii serkal kikwazo kikubwa si ufisadi ni lowasa. Wanaishia kufanya siasa badala kuwaletea wananchi maendelea.
 
Bulembo :"wapinzani wataruhusiwa kutumia barabara, maji Lakini sio kwenda ikulu "
BILA KATIBA MPYA, TUME HURU, BILA UPINZANI KUWA NA DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA VYAMA VYAO BASI HIO KAULI NI KAMA INA UKWELI
MY TAKE CHADEMA CHINI YA MBOWE Imehadaa watanzania. Unaweza kudhani ni kitu kidogo walikosea walivyobadili Gia Lakini ukweli ni kwamba watanzania baadhi wenye akili nzuri wamewadharau Sana... Imefika Muda tuwaambie ukweli.. Lowasa Hana nguvu za kuwa mgombea rais wala mbowe.. Inahitaji mtu msafi mwenye uwezo wa kujenga hoja... Kiukweli rais magufuli Pamoja na mapungufu Yake mengi Ila Sura na mwili wake tu umependezea na umefit kuwa mkuu WA nchi... Haya ni maoni yangu tu binafsi... Mojawapo ya vitu vya kuiga toka CCM ni PAMOJA NA upatikanaji wa mgombea maccm wako na demokrasia Sana nadhani Africa yote CCM ipo kwenye list ya VYAMA venye Mchakato huru na wazi
Ukweli Mchungu!
Cc: Chakaza Salary Slip OKW BOBAN SUNZU Mmawia
 
Nikubaliane na wwe kuwa tume huru ndio muarobain ila hayo mengine naona kma sijakuelewa bado...
Hyo demokrasia ya ccm ni ipi wakati hta mwenyekiti hajawahi kugombea mtu zaidi ya moja na ukichukua fomu inakuwa kesi yaani rais tu ndo anaweza kuwa mwenyekiti huoni ni kukandamiza demokrasia?? Pia mchakato wa kupata mgombea urais ndani ya ccm kuna malalmiko mengi sana ya watu kuingia na majina na hata waliioonekana kukubalika bado walokatwa juu juu ndo unaita demokrasia?? Kwanni wasingepeleka hayo majina mkutano mkuu tujue mbivu na mbichi zaidi walitaka kulazimisha mtu flani ndio awe mrithi wa jk demokrasia hyo ni ipi??
Sawa unadai lowasa hana nguvu je ninkwanni basi mnambanoa asizunguke nchi nzima kma anavyofanya makada wa ccm kwa mgongo wa serikali??? Kma hana nguvu ilikuwaje akapata kura milion 6?? Je huoni kma angekuwa hana nguvu ccm wangempuuzia tu kma walivyompuuzia cheyo ama mrema??
Haya ukisema chadema wamedharaulika unatumia kigezo kipi?? Maana mara ya mwisho maoni yalitolewa na wananchi kupitia sanduku la kura na tuliona wote jinsi ambavyo upinzani ulizoa kura nyingi kuliko wakati wowte ule tokea uhuru zaidi ya asilimia 40 (NEC) sasa kma wangetudharau si wangetukataa hyo 2015??

Mkuu acha kujitia moyo hta mwenyekiti wenu anajua jinsi upinzani unavyoubalika ndio maana anajaribu kutudhoofisha ila kma anajua wananchi wanatudharau asingehangaika na makesi kila siku kwa wabunge wetu sijui sheria za mtandao sijui kuzuia mikutano NEVER.....we kma unaona lowasa hana nguvu ruhusu mikutano weka tume huru tukutane 2020
tunajua na ndio hatutaki!
 
Aiseeeeee huyu Bulembo c ndo yule std 7 aliye mng`oa Dr.posi baada ya kuonekana mkulu kavunja katiba! mwambie kwa Lowassa umechenka ulivyomtukana wakati wa kampeni inatosha vinginevyo umwombe radhi la sivyo batch 2 itakuhusu
Acheni roho mbaya
 
tunajua na ndio hatutaki!
Sawa mkuu hta Moi na KANU alikuwa na kiburi kma chenu but its ok... ''we have a race to run and battles to be won'' simply time will tell nyie endeleeni na kiburi chenu as if mtatawala milele
 
Siasa ni kazi km kazi zingine na hazina umri wa kustaafu, sasa km ndo ivo utamwambiaje mtu aache kazi yake?? Pili km Lowasa ukifanya siasa wew Mh Burembo inakuathiri nn? Au uwoga kwa sabbu ya uwezo mdogo wa kujenga hoja ktk siasa? Au Lowasa amekuwa tishio kwa chama chako kinaelekea kufa? Jenga hoja mathubuti kwa mpinzani wako sio maneno tu Mh. Ni sawa na timu ya mpira imemsajili mchezaji flani mahili badala ya kuongeza technics za kumkabili uwanjani, unapaza sauti kwa refarii kuwa fowadi no. flani atoke nje!! So what??
 
Bulembo :"wapinzani wataruhusiwa kutumia barabara, maji Lakini sio kwenda ikulu "
BILA KATIBA MPYA, TUME HURU, BILA UPINZANI KUWA NA DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA VYAMA VYAO BASI HIO KAULI NI KAMA INA UKWELI
MY TAKE CHADEMA CHINI YA MBOWE Imehadaa watanzania. Unaweza kudhani ni kitu kidogo walikosea walivyobadili Gia Lakini ukweli ni kwamba watanzania baadhi wenye akili nzuri wamewadharau Sana... Imefika Muda tuwaambie ukweli.. Lowasa Hana nguvu za kuwa mgombea rais wala mbowe.. Inahitaji mtu msafi mwenye uwezo wa kujenga hoja... Kiukweli rais magufuli Pamoja na mapungufu Yake mengi Ila Sura na mwili wake tu umependezea na umefit kuwa mkuu WA nchi... Haya ni maoni yangu tu binafsi... Mojawapo ya vitu vya kuiga toka CCM ni PAMOJA NA upatikanaji wa mgombea maccm wako na demokrasia Sana nadhani Africa yote CCM ipo kwenye list ya VYAMA venye Mchakato huru na wazi
Njaa haina mchezo
 
Back
Top Bottom