Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Bulembo anasema kwamba hata wapinzani wakishinda hawaruhusiwi kwenda ikulu!
Nikubaliane na wwe kuwa tume huru ndio muarobain ila hayo mengine naona kma sijakuelewa bado...Bulembo :"wapinzani wataruhusiwa kutumia barabara, maji Lakini sio kwenda ikulu "
BILA KATIBA MPYA, TUME HURU, BILA UPINZANI KUWA NA DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA VYAMA VYAO BASI HIO KAULI NI KAMA INA UKWELI
MY TAKE CHADEMA CHINI YA MBOWE Imehadaa watanzania. Unaweza kudhani ni kitu kidogo walikosea walivyobadili Gia Lakini ukweli ni kwamba watanzania baadhi wenye akili nzuri wamewadharau Sana... Imefika Muda tuwaambie ukweli.. Lowasa Hana nguvu za kuwa mgombea rais wala mbowe.. Inahitaji mtu msafi mwenye uwezo wa kujenga hoja... Kiukweli rais magufuli Pamoja na mapungufu Yake mengi Ila Sura na mwili wake tu umependezea na umefit kuwa mkuu WA nchi... Haya ni maoni yangu tu binafsi... Mojawapo ya vitu vya kuiga toka CCM ni PAMOJA NA upatikanaji wa mgombea maccm wako na demokrasia Sana nadhani Africa yote CCM ipo kwenye list ya VYAMA venye Mchakato huru na wazi
kwani ye ndio anawaruhusu au................?Bulembo anasema kwamba hata wapinzani wakishinda hawaruhusiwi kwenda ikulu!
Tehe tehe jamani lina mwanya halafu limezawadiwa viti vya magauni-- liambie lichunge sana aisee!!Bulembo wewe utaishia hizo hizo nafasi za kutupiwa tu, huna ubavu wa kuchaguliwa, si unakumbuka Juma Ulole aivyokugaragaza udiwani kule Kijitonyama? Umezawadiwa ubunge wa viti maalum kula tu kimya kimya .
Huo ndo msimamo wa ccm kwamba hata upinzani ukishinda hakuna kwenda ikulu. Kauli kama hiyo imetolewa na wana ccm. Halafu huyo mzee alivyo hamnazo anaongelea chaguzi za urais na ubunge wakati yupo kwenye kampeni ya udiwani.kwani ye ndio anawaruhusu au................?
MNAMDAGANYA HUYO MZEE KESHACHOKA, HAKI YA NANI, MUNGU ANAWAONA.Bulembo Bulembo achana Na Mh.Lowassa sio type yako MKUU wewe nani mpaka umwambie?
Ataanzaaje wakati sasa hivi ni Mbunge mteule!Aaaaahaaaaa si angestaafu yeye!!??
yaani kwa akili yenu makorokoro mliyofanya mnadhani watu ni wajinga watawapigia kura.Bulembo :"wapinzani wataruhusiwa kutumia barabara, maji Lakini sio kwenda ikulu "
BILA KATIBA MPYA, TUME HURU, BILA UPINZANI KUWA NA DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA VYAMA VYAO BASI HIO KAULI NI KAMA INA UKWELI
MY TAKE CHADEMA CHINI YA MBOWE Imehadaa watanzania. Unaweza kudhani ni kitu kidogo walikosea walivyobadili Gia Lakini ukweli ni kwamba watanzania baadhi wenye akili nzuri wamewadharau Sana... Imefika Muda tuwaambie ukweli.. Lowasa Hana nguvu za kuwa mgombea rais wala mbowe.. Inahitaji mtu msafi mwenye uwezo wa kujenga hoja... Kiukweli rais magufuli Pamoja na mapungufu Yake mengi Ila Sura na mwili wake tu umependezea na umefit kuwa mkuu WA nchi... Haya ni maoni yangu tu binafsi... Mojawapo ya vitu vya kuiga toka CCM ni PAMOJA NA upatikanaji wa mgombea maccm wako na demokrasia Sana nadhani Africa yote CCM ipo kwenye list ya VYAMA venye Mchakato huru na wazi
Bulembo :"wapinzani wataruhusiwa kutumia barabara, maji Lakini sio kwenda ikulu "
BILA KATIBA MPYA, TUME HURU, BILA UPINZANI KUWA NA DEMOKRASIA YA KWELI NDANI YA VYAMA VYAO BASI HIO KAULI NI KAMA INA UKWELI
MY TAKE CHADEMA CHINI YA MBOWE Imehadaa watanzania. Unaweza kudhani ni kitu kidogo walikosea walivyobadili Gia Lakini ukweli ni kwamba watanzania baadhi wenye akili nzuri wamewadharau Sana... Imefika Muda tuwaambie ukweli.. Lowasa Hana nguvu za kuwa mgombea rais wala mbowe.. Inahitaji mtu msafi mwenye uwezo wa kujenga hoja... Kiukweli rais magufuli Pamoja na mapungufu Yake mengi Ila Sura na mwili wake tu umependezea na umefit kuwa mkuu WA nchi... Haya ni maoni yangu tu binafsi... Mojawapo ya vitu vya kuiga toka CCM ni PAMOJA NA upatikanaji wa mgombea maccm wako na demokrasia Sana nadhani Africa yote CCM ipo kwenye list ya VYAMA venye Mchakato huru na wazi
Ukweli ni ukweli japo unauma. Wana CCM wanamjua Lowasa vizuri kuliko wana CDM/UKAWA. Mkitaka mumfahamu vizuri, amna namna, ni lazima muwaulize kwani kule ndo aliko lelewa. CCM wanapo sema apumzike wana maana yao!!.