Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Hahahahaha mbona bongo mtoto wa kizaramo miezi minne tu anaongea kizaramo vzur tuAmenikumbusha Mbunge mmoja miaka ya 1970 mwanzoni, walienda ziara Uingereza na kamati yake basi aliporudi akaulizwa umeyaonaje maendeleo ya kule tofauti na hapa? Akajibu " kwa kweli wenzetu wako mbali sana, kule mtoto wa miaka mitano anazungumza English sio mchezo bwana! Kwa kweli kwa elimu wako mbali sana"