Bulembo ametia fora

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
51,980
114,295
Akihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.

Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.

Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa.
 
Last edited by a moderator:
Magufuli ni msukuma
Kitwanga ni msukuma
Bulembo ni msukuma

Jiji la kwanza ni Dar Jiji la pili ni Mwanza kwa wasukuma.


Mtanyooka tu.

Mmekalia kujisifu tu kenge Wa njano
 
BULEMBO NI MUHAYA.USIDHANI MAGUFURI ANAMARAFIKI WASUKUMA TU.HATA KWENYE TEUZI ZAKE ANAANGALIA ELIMU SIYO UKABILA
mhaya mnyantuzu msukuma mnyamwezi ikishindikana mkuria mgita wengine basi tu
 
Akihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa
sijajua hizi teuzi, watu wameteuliwa wengine ili kuonekana kukidhi makundi yote ya kijamii na rais apate sifa kwamba anajali makundi yote, au nini. mtaniwia radhi, kuna wengine nimeona kama amewapa mzigo mzito sana ulio juu ya uwezo wao. natarajia kuangalia kama watafanya mabadiliko yeyote, sijui.hapo ndipo nitakuja na kauli, ila sijui?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom