Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Tangu lini msukuma akawa na akili timamu?? Waje arusha tuwaazime zetu
Hangover yako kesho siipatii picha
Tangu lini msukuma akawa na akili timamu?? Waje arusha tuwaazime zetu
Sawa sio msukuma, swali ni alikuwa anafanya nini Ikulu?KWENDA KULE NANI ALIKUAMBIA BULEMBO NI MSUKUMA?
Hata kama unauzoefu au umekariri kiasi gani, kiapo kinatakiwa kusomwa sio kusema bila kusoma. Akikosea au kuacha neno au herufi moja tu inaweza kuathiri maana nzima ya kiapo na kukifanya batili. Ni mjinga tu ndio anaweza kusifia ujinga huo.Akihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa
Oluwa na godeUnyelile.
Huyu Bulembo nadhani shule yake siyo zaidi ya K4 tena ya kuhudhuria tu. Sijawahi kumsikia akitoa statement ambayo ndani yake hakuna ukakasi. Ona leo anaona mru fundi wa kukariri ana akili. Hopeless kabisa.Akihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa
Haki ya nani pamoja na kwamba Mimi ni UKAWA lakini hapo umenichefua, tuombe radhi Wasukuma haki ya nani! Yaani sisi hawa ndo hatuna akili? Waulize Dada zako habari ya Wasukuma watakwambia!Tangu lini msukuma akawa na akili timamu?? Waje arusha tuwaazime zetu
Bulembo Mzee Wa kutafuta majisifa hana lolote umbea tu
Mr ziro summaye vipi?Huyu Bulembo nadhani shule yake siyo zaidi ya K4 tena ya kuhudhuria tu. Sijawahi kumsikia akitoa statement ambayo ndani yake hakuna ukakasi. Ona leo anaona mru fundi wa kukariri ana akili. Hopeless kabisa.
sijajua hizi teuzi, watu wameteuliwa wengine ili kuonekana kukidhi makundi yote ya kijamii na rais apate sifa kwamba anajali makundi yote, au nini. mtaniwia radhi, kuna wengine nimeona kama amewapa mzigo mzito sana ulio juu ya uwezo wao. natarajia kuangalia kama watafanya mabadiliko yeyote, sijui.hapo ndipo nitakuja na kauli, ila sijui?
Amenikumbusha Mbunge mmoja miaka ya 1970 mwanzoni, walienda ziara Uingereza na kamati yake basi aliporudi akaulizwa umeyaonaje maendeleo ya kule tofauti na hapa? Akajibu " kwa kweli wenzetu wako mbali sana, kule mtoto wa miaka mitano anazungumza English sio mchezo bwana! Kwa kweli kwa elimu wako mbali sana"Akihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa
Nani dogo jiheshimu dogo
Acha madharau dogo
Bulembo si msukuma ni muhaya..!
Duh ndio faida ya kuteua wasomi full kukaririAkihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa
INAWEZEKANA NI NDUGU WA MMOJA UU ZAIDI YA WALIOKUWA WANAAPISHWASawa sio msukuma, swali ni alikuwa anafanya nini Ikulu?
middlemanBulembo alikuwa anafanya nini Ikulu?
cc @G Sam
Nimewauliza wamesema wasukuma hawana akiliHaki ya nani pamoja na kwamba Mimi ni UKAWA lakini hapo umenichefua, tuombe radhi Wasukuma haki ya nani! Yaani sisi hawa ndo hatuna akili? Waulize Dada zako habari ya Wasukuma watakwambia!