Bulembo aendelea kuvuruga amani Makambako


Tatizo jingine lililoanzisha zomea zomea ni kumkashifu el kua ni mgonjwa
 

Sio elimu ya kemia imeharibu kichwa. Ana asili ya ukichaa. Ndio maana aliacha ualimu
 

Hahahahahaha safiiiii
 
bulemboo ndio chanzo cha fujo! kwa mini, why..?¿ humsemi!¡
 
Tatizo jingine lililoanzisha zomea zomea ni kumkashifu el kua ni mgonjwa

Huo sasa utoto haufanyi kuwa ni halali kuzomea au kufanya fujo
Chadema WALIPOENDA MKUTANO wa CCM walitarajia Bulembo amwage sifa kawa Lowassa? Ni sawa kwenda mkutano wa Lowasa na kutarajia Lowasa amwage sifa kwa Magufuli!

Ukienda mkutano wa kampeni wa chama kingine jipange.Usitarajie kusikia unayoyapenda au unayotaka kusikia.Ukiona huna maini ya uvumilivu kwa yanayoongelewa au yatakayoongelewa kwenye chama kisicho chako ni bora ujikalie nyumbani.Ukijiona una mihemko ya kuzomea au kufanya vurugu mikutano ya watu wengine wakiongea usiyotaka kusikia jikalie nyumbani. Usije ukarudi na ngeu bure ya kupigwa na wanachama wenye hasira ulioenda kuwazomea au ukapata ngeu kwa kupigwa virungu na polisi kwa kuendesha zomea zomea mikutano ya watu au kufanya vurugu mikutano ya watu.

Huo ni ushauri wa bure
 

Kati ya taasisi/shule ninazoziheshimu ni Seminary. Kazi ya kuchuja watu siyo sawa na kuchuja juice. Huyu walimuona mapema kuwa hataweza kazi za kiroho, yaani hawezi hata kuficha hisia za kitoto. Namvulia kofia dr. Cassava jinsi alivyoweza kupenya hadi kupata daraja la upadre. Ila ndo hivyo Mungu na usanii ni sawa na Samweli Sitta na vigezo vya ccm vya mgombea uspika wa bunge la kumi.
 
Tatizo la bulembo alianza kumkashifu LOWASA mbele wa wafuasi wke ambao ndio walikuwa wengi uwanjani hapo, baada ya kugundua wapo alitakuwa ajaribu kubadili msimamo wao kwa sera safi siyo matusi.
 

Basi SS hakuutaka Uspika kwani Ulaya ingeshindikana kitu?
 
Ngoma Si yako unaicheza ya nini? mliipelekewa roli? au mlidhani yanagawa viroba. Msiba si wako unaubebea ndizi. kama chakula hakipo?
hilo ndugu zangu si jema ila ni fujo. Hao wanasiasa kwa taarifa zenu huwa wanaugomvi wa majukwaani tu. baada ya hapo ni marafiki. ndo maana mlitukanaaa lowasa fisadi akiwa ccm lakini mbowe huyo huyo kajichukulia. sasa huko tanga wanasema, hicho unachoringia wenzako tulisha ponda wala dhamani hakina ni ganda la muwa la jana.
 

Hizo ndiyo sera zake kila anapopita, ila kitendo cha kuuliza uwepo wa wanachama wa chama pinzani na kuthibitisha kisha kuanza kuwatukania mtu wao ni cha kulaaniwa. Alistahili kuzomewa na ingekuwa huku kwetu, "chaa iyoiyo nchale tu alafu mi navuka kwenda kuchubilia kula nchumbiji"

Ccm wamwage sera na kurudiarudia ahadi zao hewa badala ya kumuongelea Lowassa, sana sana mnatuzidishia ari ya mabadililo.
 
Kweli CCM imeishiwa watu wenye akili safi,waliobakia pale ni vilaza watupu ukiwemo wewe unaeshabikia umbumbumbu wa Bulembo.Ngoja nikuulize,hivi unajua malengo ya kampeni ni nini?Malengo ya kampeni ni kunadi sera za chama kinachowakilishwa kwa dhumuni la kuwashawishi wafuasi waliopo wa chama husika waendelee kukiunga mkono na pia kuwashawishi wale wafuasi wa Upinzani na wasio na vyama kukiunga mkono chama hicho,kwa bahati mbaya sana akina Bulembo hawaelewi siasa hizi za hoja kwasababu ya uduni wa maarifa na uelewa walio nao kuhusu masuala muhimu yanayogusa maendeleo ya wananchi na nchi hii,hivyo wanakimbilia kubwaga matusi na lugha zisizo na staha ambazo hazistahili kusikilizwa na watu wanaijiheshimu na wanaojielewa.Busara,hekima na uelewa wa Magufuli tumeanza kuvipima kuanzia kipindi hiki cha kampeni,tunapata picha nzima ya aina ya kiongozi tutakayekuwa naye,so far I am not impressed with him,ameshindwa kuidhibiti timu yake ya kampeni anayozunguka nayo mikoani, timu ambayo imejaa madomo kaya na waropokaji wasiojiheshimu,wenye ufahamu mdogo na wasiojua kuchagua maneno ya kuyatumia wanapoongea,hata utawala wake utakuwa hivyo hivyo,utakuwa utawala wa hovyo kabisa kuwahi kutokea ktk historia ya nchi hii.No...we won't make that mistake.
 

Huwezi mtu wa chama kingine kumfundisha mtu wa chama kingine aongee nini kwenye mkutano wa chama chake aliouitisha kwa pesa zake.Wewe wa chama kingine kama hutaki matatizo ukijiona huwa una tabia ya kukasikirika akisemwa mtu wako au chama chako kaa mbali na mikutano ya kampeni kipindi hiki cha uchaguzi usije jinyonga bure kwa hasira ya unayoyasikia au ukaishia jela au kutiwa majeraha.

Kilichokupeleka mikutano ya watu ni nini wakati huna uvumilivu wa kisiasa wala ubavu wa kuhimili matusi? Ona sasa unavyohemka shukuru polisi hawakukudaka wakakuvunja miguu na akina Bulembo hawakushuka kukupa kipigo kwa kuwazomea kwenye mkutano wao halali wenye vibali vyote.
 
Ngoja nikuulize,hivi unajua malengo ya kampeni ni nini?Malengo ya kampeni ni kunadi sera za chama kinachowakilishwa kwa dhumuni la kuwashawishi wafuasi waliopo wa chama husika waendelee kukiunga mkono
Hivi mgombea kujinyea jukwaani kwenye mkutano wa kampeni kunasaidia kufikia malengo uliyoandika hapa? Watu wasiseme kuna mgombea mgonjwa hafikii malengo ya kutangaza sera za chama chake badala yake anaishia kujinyea jukwaani bila kutangaza sera za chama chake?
 

Suluhisho sio wananchi wanaokereketwa na kauli hizi kutohudhuria. Suluhisho ni wanasiasa kufanya siasa safi.

Kama Bulembo alishadhibitisha kwamba wafuasi wa EL wapo pale mkutanoni kwake, angejenga hoja nzuri na kuwapatia sera safi za kuwabadili fikra zao ili wabadilike. Ila sio kwa kumtukana EL.
 
CCM sikio la kufa halisikii dawa naona mnatapa tapa sasa kama kuku wa kuchinjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…