BUKOBA: Wanafunzi S/M Kashai wabebeshwa madawati yao na kuhamishiwa S/M Tumaini

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,651
2,790
Hawa ni wanafunzi wa shule ya mwingi Kashai wakitekeleza agizo la mkuu wa kaya,, KILA MTU ABEBE MSALABA WAKE" nini maoni yako?

IMG_20170111_075758.jpg

Watoto hawa wanahama kutoka shule ya kashai kuelekea Tumaini baada ya madarasa yao kuanza kudidimia kutokana na Tetemeko la ardhi Tar. 10.10.2016
 
Hawa ni wanafunzi wa shule ya mwingi Kashai wakitekeleza agizo la mkuu wa kaya,, KILA MTU ABEBE MSALABA WAKE" nini maoni yako?

View attachment 461696

Sasa hapo tatizo lipo wapi vijana wana nguvu kabisa kubeba kiji deski umeona ajabu.Enzi zetu tulikuwa tunalima kabla ya kuingia darasani lazima upige tuta
 
Kuna mhaya mumoja alisema sept. 2016 kuwa Bukoba itaipiku Dubay by January 2017..... Mnatisha. Naona mnaelekea kuipiku.
 
Hivi kweli wameshindwa kutafuta hata fuso likabeba madawati, umbali wa kutoka Kashai hadi Tumaini ni mrefu sana. Hii nchi bhana ni shida.
 
Tatizo sio kuhama swari wanahamia wapi? Maana shule waliyohamia shule hiyo inahamia Kahororo lakini wakati watetemeko tulipoilipoti shule ya Kashai Dc alilalama ati shule haikuathilika na hii kutokana na msukumo wa kisiasa labda kwa wasioijua niwasaidie ili wakati mnachangia mjue linaloendelea. Utakumbuka wakati tukaingia kwenye uchaguzi wa serkali za mitaa miaka mitatatu sasa Jimbo la Bukoba lilikuwa na wenyeviti wa mitaa wawili tu Kashai ilikua na Mwenyekiti wa mtaa mmoja.Tiliamua kuifuta kabisa Ccm nakuondoa wajumbe woote na wenyeviti wa mitaa niwaupinzani.Kwahiyo Ukawekwa mpango wa kukwamisha mipango yote ya maendeleo hususani Kashai ata ilipotokea Tetemeko walijua hawatasaidiwa Dc yule aliondolewa alikua amejiapiza kuwa kashai hawatapata msaada wowote. Kwahiyo watoto kuteseka na kubebeshwa madawati ni adhabu ya na shinikizo la DC. Swari kuna watu wanabeza eti tulifanya makosa wakati wa uchaguzi Je walitaka tubaki na Ccm miaka mingapi? Na Je Mbunge yukokaribu nawananchi kiasigani mpaka anashindwa kuwajibika kwenye mambo madogo kama haya? Na Je nilini tutapata katiba inayotoa nafasi kwa mgombea binafsi asiyebanwa na sera za vyama?
 
Watanzania tuache kulia lia na unafiki, yaani wanafunzi kubeba madawati tena ya kukalia wenyewe mnataka serikali iwabebee.
Sasa nimeanza kuelewa kwa nini kizazi hiki kinazalisha sana vijana legelege......
Hao ni watoto. Wanapita barabarani na Magari pembezoni. Umbali ni mrefu. Kimsingi hicho ni kiashiria cha umasikini na madhara ya elimu bure. Walimu wanaogopa kuchangisha pesa za usafiri na manispaa bajeti imefinywa. Kuna kazi hapo. Ngoja mtoto aumie au apate ajali maana hata usimamizi haupo.
 
Yaan mleta Mada, unaonekana Ni mvivuuuu, ulitaka walim wabebe!?? Au ndio Jamiii ile ya baba kuitwa Daddy!????
 
Tatizo sio kuhama swari wanahamia wapi? Maana shule waliyohamia shule hiyo inahamia Kahororo lakini wakati watetemeko tulipoilipoti shule ya Kashai Dc alilalama ati shule haikuathilika na hii kutokana na msukumo wa kisiasa labda kwa wasioijua niwasaidie ili wakati mnachangia mjue linaloendelea. Utakumbuka wakati tukaingia kwenye uchaguzi wa serkali za mitaa miaka mitatatu sasa Jimbo la Bukoba lilikuwa na wenyeviti wa mitaa wawili tu Kashai ilikua na Mwenyekiti wa mtaa mmoja.Tiliamua kuifuta kabisa Ccm nakuondoa wajumbe woote na wenyeviti wa mitaa niwaupinzani.Kwahiyo Ukawekwa mpango wa kukwamisha mipango yote ya maendeleo hususani Kashai ata ilipotokea Tetemeko walijua hawatasaidiwa Dc yule aliondolewa alikua amejiapiza kuwa kashai hawatapata msaada wowote. Kwahiyo watoto kuteseka na kubebeshwa madawati ni adhabu ya na shinikizo la DC. Swari kuna watu wanabeza eti tulifanya makosa wakati wa uchaguzi Je walitaka tubaki na Ccm miaka mingapi? Na Je Mbunge yukokaribu nawananchi kiasigani mpaka anashindwa kuwajibika kwenye mambo madogo kama haya? Na Je nilini tutapata katiba inayotoa nafasi kwa mgombea binafsi asiyebanwa na sera za vyama?
Umeandika mengi ila hayaeleweki...
 
Hawa ni wanafunzi wa shule ya mwingi Kashai wakitekeleza agizo la mkuu wa kaya,, KILA MTU ABEBE MSALABA WAKE" nini maoni yako?

View attachment 461696

Watoto hawa wanahama kutoka shule ya kashai kuelekea Tumaini baada ya madarasa yao kuanza kudidimia kutokana na Tetemeko la ardhi Tar. 10.10.2016
Tatizo ni nini na ulitaka abebe nani? Kama kuna fungu lipo available kwa ajili ya kazi hiyo toka kwenye funds za elimu bure na hazijatumika sema hapa atumbuliwe mtu.
 
Hawa ni wanafunzi wa shule ya mwingi Kashai wakitekeleza agizo la mkuu wa kaya,, KILA MTU ABEBE MSALABA WAKE" nini maoni yako?

View attachment 461696

Watoto hawa wanahama kutoka shule ya kashai kuelekea Tumaini baada ya madarasa yao kuanza kudidimia kutokana na Tetemeko la ardhi Tar. 10.10.2016
Kwa hiyo we ulitaka watoto wasisome kwa kuwa shule yao imeanza kudidimia...?
Au lengo la thread yako hii ni nin..?
 
Tatizo sio kuhama swari wanahamia wapi? Maana shule waliyohamia shule hiyo inahamia Kahororo lakini wakati watetemeko tulipoilipoti shule ya Kashai Dc alilalama ati shule haikuathilika na hii kutokana na msukumo wa kisiasa labda kwa wasioijua niwasaidie ili wakati mnachangia mjue linaloendelea. Utakumbuka wakati tukaingia kwenye uchaguzi wa serkali za mitaa miaka mitatatu sasa Jimbo la Bukoba lilikuwa na wenyeviti wa mitaa wawili tu Kashai ilikua na Mwenyekiti wa mtaa mmoja.Tiliamua kuifuta kabisa Ccm nakuondoa wajumbe woote na wenyeviti wa mitaa niwaupinzani.Kwahiyo Ukawekwa mpango wa kukwamisha mipango yote ya maendeleo hususani Kashai ata ilipotokea Tetemeko walijua hawatasaidiwa Dc yule aliondolewa alikua amejiapiza kuwa kashai hawatapata msaada wowote. Kwahiyo watoto kuteseka na kubebeshwa madawati ni adhabu ya na shinikizo la DC. Swari kuna watu wanabeza eti tulifanya makosa wakati wa uchaguzi Je walitaka tubaki na Ccm miaka mingapi? Na Je Mbunge yukokaribu nawananchi kiasigani mpaka anashindwa kuwajibika kwenye mambo madogo kama haya? Na Je nilini tutapata katiba inayotoa nafasi kwa mgombea binafsi asiyebanwa na sera za vyama?

Watanzania tunapenda sana Ujamaa bila kupenda kujitegemea, na wengine huwa wanashabikia upepari lakini hawataki kunyonywa. Mtoto wa Kitanzania kubeba dawati lake sioni kama ni tatizo. Nimesikia kuwa kuna shule za binafsi waowafulia hata nguo za ndani wanafunzi wao. Aibu.
 
Hivi kweli wameshindwa kutafuta hata fuso likabeba madawati, umbali wa kutoka Kashai hadi Tumaini ni mrefu sana. Hii nchi bhana ni shida.

Wewe unapajua ama unachangia ili uonekane umesema chochote!!! Sasa mimi nakwambia kuwa ingekuwa kazi kubwa kuyapakia kwenye fuso na kuyashusha kuliko kuyabeba ama ulitaka wabebe walimu mkuu!. Siyo mbali hata kidogo hata nusu kilometer haifiki mimi napajua vizuri hapo.
 
Back
Top Bottom