luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
Hahaha mkuu mji mdogo wa tarakea rombo unaizidi kwa mbaali bukoba cheki hapo chini eti ni bukoba mjin duhh mavumbi télé ndio.maana funza hawaishi hukoHahahaha juz nlikua bukoba Ovyo kabsaaa hivi ile Ndiyo Stand au zizi la ng'ombe??? Round about ya mgomba Hahahaha hakuna nyingine tena chemba ipo ipo mliman Kama kule rongai taveta Eti ni mjin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mzee Kingsharon92 imesikia hii hahahsAcheni kumfananisha tundulisu na msukumabukoba akuna kitu mbele ya moshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli Kilimandjaro ni mfano wa kuigwa ktk maendeleoNalikumbuka shirika letu la maendeleo wilaya ya moshi SHIMAWIMO sijui lilikufaje. Walikuwa na mabasi ya trip town, moshi kcmc, moshi kiboriloni, moshi majengo miaka ile ya 80
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe usafi ulianza kitambo pande hiyo.Wakuu ili kudhibitisha mkoa wa Kilimanjaro ni ngome ya maendeleo tangu enzi na enzi,ninaomba kuwasilisha picha ya kituo Cha mabasi Moshi ya mwaka 1971
*NB* wale Wala senene waliokuwa wanafananisha Moshi na mji wao wajitafakari
Cc
instanbul
britanicca
Come27
Sky EclatView attachment 1011553
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaa mji mdogo wa sanya wilaya ya siha unakuja juu mno picha hizo hapoKazia apo sanya wanakua kwa kasi nilikua huko mwezi wa 11
"tuiongelee Tanzania yetu" Kwan Moshi sio Tanzania? We ndio mbinafsiMnajadili ubinafsi sasa. Mwisho wa siku mtaanza kumwaga mitusi buree na vitu vya Kijinga. Haya mambo ya Kuendelea enzi za Ukoloni yana tafsiri nyingi tuyaache yalivyo tuiongelee Tanzania yetu.
Washomile wamepoteana huwa wanasemaga picha picha sasa Léo nimewaletea mapicha wamepoteanaNiko hapa mkuu na leo niko huku kwa wapenda ligi wenzio kina nshomile
Dar lux wameanza safari za dar Bukoba. sio Kwa nauli hiyo elfu sabini na tano lakini wateja hawakosagi hata nikienda bukoba lazima nipande hii.Washomile wamepoteana huwa wanasemaga picha picha sasa Léo nimewaletea mapicha wamepoteana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuletee ya chatoWakuu ili kudhibitisha mkoa wa Kilimanjaro ni ngome ya maendeleo tangu enzi na enzi,ninaomba kuwasilisha picha ya kituo Cha mabasi Moshi ya mwaka 1971
*NB* wale Wala senene waliokuwa wanafananisha Moshi na mji wao wajitafakari
Cc
instanbul
britanicca
Come27
Sky EclatView attachment 1011553
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule uzio wa sengenge huo hapo ni wa mabweni ya wasichana wanaosoma bukoba sec
Yalete hapa hayo matokeo na mikoa uumbuke sasa! Mi sipendagi mtu muongo muongo. Na kwa hili ntabishana hadi kesho!Inapigwa vita na haya maboya lakini nenda angalia matokeo ya form IV mkoa gani umeongoza? WA MBILI NI MBILI TU NA WA MOJA NI MOJA TUU!!!!
Kama kwenye ule uzi umetuumbua turudi kule basi! Kama utathubutu kutia mguuNimefanya maksudi maana nyie huwa mnapenda kujifanya eti mna ubavu wa kupimana na moshi ,kwahiyo nimefanya maksudi kuwaumbua hata ule Uzi wa bilion 7 za vunjo nimewaumbua mmebaki na aibu mm huwa napenda kuumbua wanaojidai kumbe hawana kitu
Bukoba lèvel yake ni mamlaka ya mji mdogo wa ushirombo sio jiji tarajiwa la la Moshi
Sent using Jamii Forums mobile app