Bukoba na moshi ni miji tofauti sana. Fananisha Bukoba, musoma, kigoma, sumbawanga, songea, shinyanga, singida. Fananisha Moshi, Morogoro, dodoma, Iringa. Then Njombe, Babati, Geita, Mpanda, lindi. Halafu Dar, Mwanza, mbeya, arusha, Tanga. Kwa mlinganyo huu Sawa. Moshi ni manispaa inayoelekea kuwa jiji wakati Bukoba ni manispaa ambayo bado ina harufu ya halmashauri ya mji.