Bukoba tumebaki analogi

Noted.
 
Rais hawezi kuzindua mradi wa stend kuu kwasababu ilijengwa na wapinzani. Awa Ccm wana ghirba hujapata kuona sijui kazi ya usalama wa taifa niipi? Ujinga kama uo unafanyika pesa za walipa kodi zimetika lakini wanagoma kuendeleza ujenzi nasikia wanatafuta eneo jingine. Yaani ccm ni hatari kuliko nyoka. Ukiangalia apo Chadema walipambana kubadilisha mji walijenga barabara za mfano na taa zake walinunua kiwanja na kuanza ujenzi mpaka apo walifanikiwa kujenga barabara za kuingia stend kwa kiwango cha lami na kujenga mitaro, walijenga kituo cha polis na vyoo na sehemu za watu kusubiria magari lakini mwendazake alipovuruga uchaguzi na kuwaondoa wote sasa ivi ni full ccm hawana habari na maendelo kibaya zaidi wanagombana wao kwa wao ata Mbunge ameamua kufanya yake bila kushirikiana na madiwani.
Bukoba tunamlaumu Magufuli alituondoa kwenye leli sasa ivi tungekuwa na soko na stend lakini pia kungekuwa na maendeleo makubwa tena kwa muda mfupi.
Mungu amuweke magufuli alikostahili.View attachment 2251930View attachment 2251931View attachment 2251932
 
Barabara za kuingia stend kuu mpa
 
Haaaaa nmecheka kama mazuri umenikumbusha mbali nilikua natoka ishozi ndo kwetu nikachelewa kupata gari ya kwenda bk toun maana nilikua naenda kulala mjini ili nipande gari za arusha sa 11 asbuhi .bwana we kikaja kitex vile vi cardina tulijazwa mle kama me nilkaa SITI ya dreva jamaa akawa anaendesha gari akiwa nje kaptisha mguu mmoja kwenye mlango.
 
kumbe enzi zile ulikuwa unailinganisha Bukoba na Moshi ndio ulikuwa unailinganisha 😂..

lazima utatubu tu mkuu.

Uliikosea sana Kilimanjaro
 
kumbe enzi zile ulikuwa unailinganisha Bukoba na Moshi ndio ulikuwa unailinganisha
..

lazima utatubu tu mkuu.

Uliikosea sana Kilimanjaro
Hata nyie mji wenu una matatizo yenu...tukianza kuyataja hapa..hapakaliki

Tanzania kama nchi bado sana
 
Mpaka leo magari ya Ishozi na Bugabo ni taabu ila inatokana na ubovu wa barabara maana wenye magari wanaogopa kupeleka magari yao mazuri yasipelekwe kule
 

Bukoba tumebaki analogi kimaendeleo ila kwa totos mko juu sana​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…