ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,795
Chonka iwe! Mabati ya senene ni yap? Mbona Arusha mkurugenzi alitumia mabati kama hayo kujenga soko.Ukiangalia hali ya mikoa na wilaya vinavyobadilika unaona kabisa Bukoba tuliachwa analog kila kitu Bukoba tuko nyuma sio stendi kuu sio soko kuu sio hospital sio vyuo vikuu yaani hatuna chuo kikuu ata kimoja mkoa mzima lakini ni mkoa umaoongoza kwa kuzalisha wasomi walioolowea ughaibuni.
Wasomi wasio na faida kazi ni kutujazia makaburi. Naandika kwa hasira ivi WAHAYA nani aliyewaloga? Yaani Mbunge anakarabati soko zee kwa kuezeka na bati za SENENE? Tumezidiwa na mshenga wa Yesu Mzee wa Kaprnaum?
Sijui CCM mtajibu nini kwa Muumba, kodi mnachukua hospital hakuna madawa shule hizo usiseme barabara mitaani hoi sijui narudia sijui.
Namaliza kwa kusema ABAHAYA inywena mweshubeho Kagera yagera.View attachment 2250488View attachment 2250490View attachment 2250489View attachment 2250491View attachment 2250492
Kwhy unataka wakajenge soko, watoe madawa, wajenge vyuo vikuu wenyewe siyo[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiangalia hali ya mikoa na wilaya vinavyobadilika unaona kabisa Bukoba tuliachwa analog kila kitu Bukoba tuko nyuma sio stendi kuu sio soko kuu sio hospital sio vyuo vikuu yaani hatuna chuo kikuu ata kimoja mkoa mzima lakini ni mkoa umaoongoza kwa kuzalisha wasomi walioolowea ughaibuni.
Wasomi wasio na faida kazi ni kutujazia makaburi. Naandika kwa hasira ivi WAHAYA nani aliyewaloga? Yaani Mbunge anakarabati soko zee kwa kuezeka na bati za SENENE? Tumezidiwa na mshenga wa Yesu Mzee wa Kaprnaum?
Sijui CCM mtajibu nini kwa Muumba, kodi mnachukua hospital hakuna madawa shule hizo usiseme barabara mitaani hoi sijui narudia sijui.
Namaliza kwa kusema ABAHAYA inywena mweshubeho Kagera yagera.View attachment 2250488View attachment 2250490View attachment 2250489View attachment 2250491View attachment 2250492
Hii ina uhusiano gani na ubovu wa miundombinu?Wahaya ni watu makini sana. Wengi wana Elimu nzuri na wako smart kichwani..
Huwa nikiwa likizo naishia kubishana na kukasirishwa na watu. Vilaza wengiMimi nilishaacha kuipambania bukoba....nimewaachia bukoba yao nitakuja kuzikwa tu..
Mji una miundombinu mibovu kuanzia stendi hadi barabara zake...
Serikali yenyew haiteng bajeti na kuipeleka huko..manispaa imejaa wezi tu na wala hawatumbuliwi.
Tungeiacha kagera tu ikachukuliwa uganda na idd amin at least bukoba ingekuwa imepiga hatua
Niliwachorea ramani na route za daladala hapo mjini bukoba na kuwapelekea manispaa waanzishe hizo route ili wachukue mapato kutokana ushuru waachane na bodaboda ambazo hazichangii lolote manispaa...Huwa nikiwa likizo naishia kubishana na kukasirishwa na watu. Vilaza wengi
Ile bandari ya Bukoba na uwanja wa ndege ndio kabisa unathibitisha unachosemaUkiangalia hali ya mikoa na wilaya vinavyobadilika unaona kabisa Bukoba tuliachwa analog kila kitu Bukoba tuko nyuma sio stendi kuu sio soko kuu sio hospital sio vyuo vikuu yaani hatuna chuo kikuu ata kimoja mkoa mzima lakini ni mkoa umaoongoza kwa kuzalisha wasomi walioolowea ughaibuni.
Wasomi wasio na faida kazi ni kutujazia makaburi. Naandika kwa hasira ivi WAHAYA nani aliyewaloga? Yaani Mbunge anakarabati soko zee kwa kuezeka na bati za SENENE? Tumezidiwa na mshenga wa Yesu Mzee wa Kaprnaum?
Sijui CCM mtajibu nini kwa Muumba, kodi mnachukua hospital hakuna madawa shule hizo usiseme barabara mitaani hoi sijui narudia sijui.
Namaliza kwa kusema ABAHAYA inywena mweshubeho Kagera yagera.View attachment 2250488View attachment 2250490View attachment 2250489View attachment 2250491View attachment 2250492
Tatizo sio bati tatizo ni kuakarabati jego lililooza. Kijengo ni cha mkoloni kimeoza kabisaChonka iwe! mabati ya senene ni yap? mbona arusha mkurugenzi alitumia mabati kama ayo kujenga soko
Hapana mkuu vyote hakuna wajenge kimojawapo.Kwhy unataka wakajenge soko, watoe madawa, wajenge vyuo vikuu wenyewe siyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wamesahau nyumbani wamaletwa kuzikwa tu.Wahaya ni watu makini sana. Wengi wana Elimu nzuri na wako smart kichwani..