Bukoba sirudi tena ng'o

we kweli kichaa
 
Pole sana mkuu, yaelekea uliopoa kidosho sasa umeshindwa ile staili yetu ya soko la KATERERO
 
MKUU
Achana na hao watu, tumekwisha wazowea kwa majigambo yao,
eti mimi hivi....
eti sisi hivi......
eti kwetu hivi........
Kumbe weupe kabisa, wakijikuna wanatoka vumbi. Hamna kitu hapo.
Ndio maana.........
Wewe jiulize kwa nini iko hivyo.
Mwenye nacho siku zote hana majigambo.
 
Skating on thin ice....
Hukatazwi kujigamba kwa kuwa ulichonacho hakimvutii mwingine
 
Pia hawapendi kusaidia ndugu zao waliowaacha vijijini ,wanapenda waendelee kuwa hivyohivyo ili kila wakirudi likizo waabudiwe na kuonekana tofauti na wengine.though kwa mleta mada juu ya Bukoba ni pointless kwani hata marehemu Shabaan Robert aliwahi kusema ''Titi la mama ni tamu hata kama ni la mbwa''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…