instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,828
- 16,266
Mwili wa kijana wa kiume mwenye miaka kati ya miaka 25- 35 umekutwa umetupwa ukiwa na majeraha mbali mbali kichwani kikiwa kimepondeka pondeka katika viwanja vya secondary ya Kahororo mjini Bukoba Leo asubuhi ya tarehe 9/1/2017. Mwili huo mpaka sasa haujatambulika mpaka sasa, mpaka uchunguzi utakapofanyika.
Chanzo: Redio Kasibante
Chanzo: Redio Kasibante