Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
Mimi ingawa ni mtu wa Kyerwa lakini nimewahi kufanya kazi serikalini hapo Bukoba na najua siasa za hapo Bukoba ....kwanza kwa location ya Bukoba ina advantage nyingi kuliko Mwanza ....Kagera ndio mkoa unaopakana kwa ukaribu na nchi nyingi tena nchi hizo miji yao mikuu ikiwa mbali kulinganisha na distance ya kufika Bukoba ......lakini Bukoba imeshindwa kuvutia wafanyabiashara wengi kutoka nchi jirani kutokana na vitu vingi ....nikipata wasaa nitaviainisha hapa ili serikali isaidie kuimarisha miji mikubwa ya mipakani inayoweza kuvutia biashara nyingi ...
Ni kweli mkuu, unajua Tz ni nchi yetu sote kwa kila kitu. Tutakushukuru kwa michango yako