Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

Nachoshukuru nchi yangu haijawahi ongozwa na "MCHAGGA wala MHAYA" makabila mengine sawa, ila mchagga na mhaya hapana aise :cool:
 
Katika kuonyesha kuitikia wito wana Bukoba wa Dar es Salaam na ughaibuni wameahidi kuchangia jumla ya trilion 3 kila baada ya miezi 3 ili kuboresha litakalokuwa jiji la NEW BUKOBA. Bukoba ndo home.

Rugimbana unaenda Kyamyolwa?
 
Back
Top Bottom