jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,504
- 8,303
Wamekutapeli nini kiongoziNyie matapeli wa tanzania mupo?
Wamekutapeli nini kiongoziNyie matapeli wa tanzania mupo?
Nyie maneno sisi vitendo
Wahaya kwa misifa hamjambo.Mnavyojiinua lkn Kumbe Bukoba yenyewe ni ya Kawaida sana.Katika kuonyesha kuitikia wito wana Bukoba wa Dar es Salaam na ughaibuni wameahidi kuchangia jumla ya trilion 3 kila baada ya miezi 3 ili kuboresha litakalokuwa jiji la NEW BUKOBA. Bukoba ndo home.
Wasiliana na Prof Rutashebebya, Justinian, Precidius (PhD) ambae yupo Harvard university, USAMkoa mzima wa Kagera, Mkikusanya mavi yenu hamfikishi tani 3
😂😅🤣Nshomile katika ubora wenu.
Kwa kupenda masifa tu hajambo, unaijua trillioni 3 lakini??