ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 8,142 Reaction score 17,621 Aug 16, 2014 #21 Hahaha mkuu bwana hizo tablets zimekuwa given to them na Opportunity Education Foundation. Shule nyingine kadhaa hapa Tanzania wamepewa pia.
Hahaha mkuu bwana hizo tablets zimekuwa given to them na Opportunity Education Foundation. Shule nyingine kadhaa hapa Tanzania wamepewa pia.
mtvbase JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 1,243 Reaction score 563 Aug 16, 2014 Thread starter #22 miss chagga said: baba koku acha ujinga watu wanatafuta hela we unatangaza sifa hapa ..... Click to expand... Sijatangaza sifa nimewajulisha kinachojiri bukoba wakati huu wa science na technology
miss chagga said: baba koku acha ujinga watu wanatafuta hela we unatangaza sifa hapa ..... Click to expand... Sijatangaza sifa nimewajulisha kinachojiri bukoba wakati huu wa science na technology
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,109 Aug 16, 2014 #23 mtvbase said: sijatangaza sifa nimewajulisha kinachojiri bukoba wakati huu wa science na technology Click to expand... baba koku sifa kwenu ni kama pumzi
mtvbase said: sijatangaza sifa nimewajulisha kinachojiri bukoba wakati huu wa science na technology Click to expand... baba koku sifa kwenu ni kama pumzi
Nukta5 JF-Expert Member Joined Jun 7, 2014 Posts 1,192 Reaction score 1,315 Aug 16, 2014 #24 idawa said: Hiyo shule inamilikiwa na nani? Click to expand... itakuwa ya Ruge coz wasanii walipokuwa Bukoba kwenye Fiesta walienda kuonyeshwa hiyo shule inaitwa Josiah Secondary
idawa said: Hiyo shule inamilikiwa na nani? Click to expand... itakuwa ya Ruge coz wasanii walipokuwa Bukoba kwenye Fiesta walienda kuonyeshwa hiyo shule inaitwa Josiah Secondary
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Aug 19, 2014 #25 Kweli mkuu mja asili haachi asili yake
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,001 Aug 19, 2014 #26 Za msaada hizo wewe mwanao hana!
mtvbase JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 1,243 Reaction score 563 Aug 21, 2014 Thread starter #27 Kweli nshomile mnapenda sifa