Bukima imeripotiwa kuangukia mkononi mwa M23

Bukima imeripotiwa kuangukia mkononi mwa M23

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Hivi hili kundi la m23 limetoka wapi hasa?

Na kiongozi wao mkubwa ni nani?

Na silaha nzito wanatowa wapi?

Haya ni maswali ambayo na jiuliza Sipati jibu.

Leo hii hawa M23 wamekuwa wakifanya chochote wanacho jisikia ndani ya INCH ya Kongo walichukuwa mji wa bunagana.

Serekali ikapiga kimia.

Wanafanya wanavyo taka serekali wanakaa kimia.

Sasa hivi wameuteka mji mwingine.

Na mpaka sasa serekali hawaja ongeya chochote.

Mmmmmm ni Mungu tu na maombi

Screenshot_20220803_080455_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20220803_080522_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20220803_081143_com.facebook.katana.jpg
[ATTACH=

Ninacho kiomba kikitokea kuna watu nitawabatiza kwa moto wa jehanam
Maana kwa asira hii dah wewe acha tu
 
Attachments

  • FB_IMG_1659409558875.jpg
    FB_IMG_1659409558875.jpg
    97.2 KB · Views: 17
Tatizo lenu wakongo mnapenda kukata viuno sana kwenye miziki, na kuacha kujifunza namna ya kupambania nchini yenu. Sasa hapa umekuja kulia lia sijui unafikiri utapata vijana wa kuja kuwasaidia kuwapambania nchi yenu.
 
Gen. Wa Jeshi la Congo alisema nchi yao Ni ya 8 kwa ubora hapa Africa,sasa namna gani tena pale 😄😄😄
Kuna mkongo mmoja hapa kutwa kuimba lingala na kukatika malinga. Ukimwambia habari ya M23 anajibu "baache bapambane, nayua banaweza kutushinda kuvita, lakini kwa ile muziki yetu ya kongo, amini akuna bakutuweza". "Motema nangai dali kinyosoo eeh 🎶🎶🎶🎶 Jamaa kajichubua hadi kucha kulaleki 😂😂🤣🤣
 
😄😄😄 Duh nimecheka kichizi,jamaa kazi ngumu ngumu hua hawataki kabisaaa
 
Back
Top Bottom