Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,775
- 9,202
Bujibuji alikua anapita kando kando ya mto mara akamwona pastor anawabatiza,
akaamua nae kujiunga kwenye mstari.ilpo fka zamu yake.akazamishwa mara ya
kwanza. ..akaulzwa umempokea yesu! Akajibu hapana........akazamshwa tna mara ya pili.
Akaulzwa umempokea yesu! Akajibu hapana......akazamishwa mara ya 3.akaulizwa
umempokea yesu..akajibu.. Hv unauhakika alizama hapa! Au unanisumbua tu?