Bujibuji na mchina wake

Bujibuji na mchina wake

Haha haha, hahaha. .mkuu umenifurahisha sana nipo hapa hotel napata msosi nimecheka kwa sauti maana nipo alone mpk jamaa wengine wametabasam kwa hiki kicheko.
wewe ni mtu wa mama ntilie, acha kutuzuga
 
Utajua kama unasimu ya KICHINA
kama_________
1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina
Tv,microwave,torch,kikata
kucha,mswaki,kiberiti cha sigara
3. Unaweza andika Msg kwa tooth
pickii
4.kuna matatizo ya kimaandishi
mfano Nokla,Blackderry,Samvang
5.Ndege ikipita ,simu inaandika 1
missed call
6.Ukiwa karibu na lorry
likawashwa kitu kinaandika
"Charger Connected"
7.lazma iwe na Simu card Mbili na
bettry mbili
8.kukiwa hamna umeme inaandika
"insert sim card"
9.ukipost status facebook ina post
10 nyingine bila ww kujua
10. Ukipita karibu na mchina uku
bluetooth ikiwa on ,simu
inaonesha new hardware found,
please enter pairing code

we kweli mtambo. Bujibuji in series.
 
Utajua kama unasimu ya KICHINA
kama_________
1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina
Tv,microwave,torch,kikata
kucha,mswaki,kiberiti cha sigara
3. Unaweza andika Msg kwa tooth
pickii
4.kuna matatizo ya kimaandishi
mfano Nokla,Blackderry,Samvang
5.Ndege ikipita ,simu inaandika 1
missed call
6.Ukiwa karibu na lorry
likawashwa kitu kinaandika
"Charger Connected"
7.lazma iwe na Simu card Mbili na
bettry mbili
8.kukiwa hamna umeme inaandika
"insert sim card"
9.ukipost status facebook ina post
10 nyingine bila ww kujua
10. Ukipita karibu na mchina uku
bluetooth ikiwa on ,simu
inaonesha new hardware found,
please enter pairing code

Duuu wee mzee kulikoni tena mbona uliuanza mwaka vizuri ? Uzalendo umeshakushinda?
 
Labda yupo kwenye Restaurant ambayo iko ndani ya Hotel, otherwise ndiyo yale yale mtu yupo kwenye kibanda cha chips (mgahawa) anasema yupo Hotelini.

Jana tu nimepita sehemu wanauza vichwa na miguu ya kuku, nikaisikia njemba moja pale imeshika mguu wa kuku huku anamwambia mwenzake kwenye simu nipo hapa nakula kuku, amazing

kwahyo kuku analiwa hotelini tu? Acheni upuuzi kuku ni kuku haijalishi unamla ukiwa hotelini au gengeni.
 
Utajua kama unasimu ya KICHINA
kama_________
1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina
Tv,microwave,torch,kikata
kucha,mswaki,kiberiti cha sigara
3. Unaweza andika Msg kwa tooth
pickii
4.kuna matatizo ya kimaandishi
mfano Nokla,Blackderry,Samvang
5.Ndege ikipita ,simu inaandika 1
missed call
6.Ukiwa karibu na lorry
likawashwa kitu kinaandika
"Charger Connected"
7.lazma iwe na Simu card Mbili na
bettry mbili
8.kukiwa hamna umeme inaandika
"insert sim card"
9.ukipost status facebook ina post
10 nyingine bila ww kujua
10. Ukipita karibu na mchina uku
bluetooth ikiwa on ,simu
inaonesha new hardware found,
please enter pairing code

Kwenye red ndio nini?
 
Utajua kama unasimu ya KICHINA
kama_________
1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina
Tv,microwave,torch,kikata
kucha,mswaki,kiberiti cha sigara
3. Unaweza andika Msg kwa tooth
pickii
4.kuna matatizo ya kimaandishi
mfano Nokla,Blackderry,Samvang
5.Ndege ikipita ,simu inaandika 1
missed call
6.Ukiwa karibu na lorry
likawashwa kitu kinaandika
"Charger Connected"
7.lazma iwe na Simu card Mbili na
bettry mbili
8.kukiwa hamna umeme inaandika
"insert sim card"
9.ukipost status facebook ina post
10 nyingine bila ww kujua
10. Ukipita karibu na mchina uku
bluetooth ikiwa on ,simu
inaonesha new hardware found,
please enter pairing code


uwiiiiih, ahaaaaaha, hahahaha, uhhuhhhhhhhhhh! Bujibuji mbavu zangu, eehhhhhh eeeeheeeee!

​
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    15.1 KB · Views: 341
  • image.jpg
    image.jpg
    28.3 KB · Views: 75
Bujibuji hapo kwenye New Hardware found pamenifanya nicheke.
 
Last edited by a moderator:
ndo nini kunitoa machozi mkubwa mwezio?//loh..nimecheka na sasa nalia bila kupenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom