Building materials for sale

Building materials for sale

Denis Gregory

Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
97
Reaction score
120
DF company ni wazalishaji wa matofali ya aina yote.

Pia huduma zetu tunatoa hata nnje ya mkoa wa Pwani.

Tunapatikana
Boko
Bunju
Zinga kwa Ahwazi
Zinga bagamoyo
$zinga kwa mtoro
&Kibaoni kiromo
Garama zetu ni nafuu sana
Mawasaliano 0785102559,0755102559.

image-2022-05-08-11:34:34-239.jpg
 
Yaani tangazo safi kabisa pamoja na kapicha, ila kitu ulichosahau mkuu ni kimoja tuBEI ya matofari yako, hicho tuuu.
Weka bei watu wajipime na kama una offer yoyote mfano usafiri, nk weka watu wajue mkuu itasaidia
 
Shukrani boss bei zetu nikama tofali ya nchi 6”full 1,250 tegeta,boko,bunju
6” 1,200 Mapinga,kerege,matumbi,kwa ahwazi
Bagamoyo 5” 1,000 4” oda maalumu
Chiping pia oda maalum
 
Back
Top Bottom