Building economics vs building surveying.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Naomba kufahamishwa tofauti ya hizo kozi mbili zinazotolewa na chuo kikuu cha ardhi,na ipi iko marketable zaidi ya nyingine.natanguliza shukrani zangu.
 
zote poa
lakini subiri matokeo....si hapo to wiki ijayo!!!
:smile-big:
 
watu mnapenda kutumiwa PM,asa kwa nin usieleze hapa hapa ikawa faida ya wengi?

Wajinga kama wewe Senetor mmemdiscourage, utadhani wewe unachosemea itakuja kukutoa, usitukane mkunga na uzazi ungalipo
 
for the time being i would advice you to go fo building economics btn the two since is markertable in Tanzania currently building survey inakuja ingawa bado.Naongea kwa experience mm ni mdau wa hapo uclas graduate wa 2010 ila me nilipiga Property n facilities management nilikula msoto kidogo coz kozi ndo mpya bongo ila sikukata tamaa now ni mwendo wa dolla tu.Kuwa na moyo wa kuthubutu tu ndo silaha.
 
unaweza kunisaidia kunipa tofauti za kimajukumu ya kila moja mkuu.
 
Building economics ana deal na cost estimation na control katika process nzima ya ujenzi ulaya wanaitwa cost engineers.then building surveyors wana deal na ukaguzi wa majengo either kwa ajili ya repair/maintenance (dilapidation survey) au kama mtu anataka kununua jengo ndo surveyor alikague kwanza
 
[HASHTAG]#Fact[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom