Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!


Hapana mkuu hata za formula one,ukiwa pale kwenye ile kona ya Sainte Devote(Monte Carlo -Monaco) kona ina nyuzi 90.Fika pale Beau Rivage.mbele kidogo kuna Mirabeau nyuzi 180.halafu jiulize kwa nini ni uwanja ambao magari ya formular One yanakwenda slow sana pale, kuna jamaa aliwahi kudumbukia baharini 1965.kwa speed unazosema Eu Rouge(SPA Francorchamps) wanafika hata pale monza italia kuna ile kona ya Lesmo na Parabolica.kwanza sijui kama momtecarlo kuna DRS(Drag Reduction System).
 

Sikatai ndugu, ni kweli hila nilichotaka kusema mimi ni kwamba gari kufika speed 500km/h si swala la barabara mpaka iwe na urefu wa kilometa 20 au 10, ni swala la teknolojia tuu ndio utumika kwa magari mengi ya kisasa, mfano urefu wa 300m gari za F1 zinakugongea hizo speed, na pia kila kitu utengenezwa kutokana na mahitaji ya Jamii iliyotuzunguka , hivyo basi tukiona mzungu katengeneza gari lenye speed 500km/h tufahamu kwamba wameshaona kuwa hitaji hilo kwa wateja wao, hivyo barabara za kugonga mpk speed 1000km /h zipo ni swala la hao wabunifu wa magari ikifika wakati watafanya hivyo. Asante sana.
 
imezidi kwa Porshe panorama turbo supercharged ya 2013 ina speed 400km/h muundo ndani na nje ni kama hiyo hiyo zimetofautiana nyuma tuu hawa panorama 2017 naamini watakua wametoa kitu cha hatari zaidi...
Ni Porsche panamera mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…