hivi unaweza ukawa na kauli iliyoenea nchi nzima mfano "KILIMO KWANZA" halafu budget inapangwa 3.4% ya budget nzima ktk kilimo,we kama mtanzania walionaje hili..................?
hivi unaweza ukawa na kauli iliyoenea nchi nzima mfano "KILIMO KWANZA" halafu budget inapangwa 3.4% ya budget nzima ktk kilimo,we kama mtanzania walionaje hili..................?
Mimi kama Mtanzania wala sitaki kulifikiria hili kwani yako mengi mno kama haya na ukitaka kuyafikia yote utakuwa kichaa na hospitali ya Mirembe haina madakitari atanitibu nani. Peoples power is the only solution
The problem na Budget ni walau basi hizo walizotaja zifanye kazi ilolengwa...
Hapo wahusika wanasubiri cha juu (sijui niseme cha kati...) kwa hamu katika sekta zao...
suala ni kuwa hata hicho kidogo kikifanya kazi effectively we will see changes. Mtu asikudanganye wizara ngulli kama afya, miundombinu na elimu ziwe sawa na kilimu. Think.
Mipango mingi, less utendaji, huo ndo ugonjwa wetu, hata ingekuwa 80% kilimo, usingeona improvement, tukiacha kujali matumbo binafsi hiyo mipango tutaona matunda yake. Hata aje mchumi gani kutupangia bajeti kwa Utendaji huu ng'o hatutopata maendeleo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.