Budget YA NEEMA YAJA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Budget YA NEEMA YAJA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Jun 8, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Heko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu atanufaika

  Pongezi kwa mkullo
   
 2. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Tusio walimu ndio imekula kwetu. Ushabiki mwingine, hasara na janga kwa Taifa. Mzaha mzaha
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nasikia Chama cha Demokaya na Magwanda wamepanga kususa kuingia bungeni !
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  yeah,
  na sigara moja 3000/= huku bia ikiruka hadi 5000/=
   
 5. Mkaguzi

  Mkaguzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwenye budget aturushie bac wakuu
   
 6. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  azavali BIA ITAPATA HESHIMA YAKE SASA,SIO KILA MTU ANAKUNYWA TUU TENA KWE JEURI,TUTAKUNYWA TUNAOFANYA KAZI BOT TUU NA WATU WAMAGWANDA
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  yeah,vyote bia na sigara vipewe heshima
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,675
  Trophy Points: 280
  Jibu kwa hoja si kwa matusi,hatuko kwenye vijiwe vya kahawa hapa alaaah!!!.
   
 9. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Acha kebehi wewe.Ninyi ndio mnaojifanya mko matawi ya juu.Lakini mbona na wewe ni ndondocha wa Freemasons.
   
 10. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  watanzania bwana, mnaleta bangi hadi kwenye mambo ya msingi? Mtakua lini mgundue kuwa nyie ni maskini wa fikra?
   
 11. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nakushauri ubadilishe hilo jina, ninaanza kupata wasiwasi
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  hatuna haja ya kusikiliza wala kujadili bajeti ya mishahara,kila mwaka kutegemea kodi za sigara na bia badala ya kusimamia na kubuni vyanzo vipya vya kodi
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Bangi mbaya jamani!

  View attachment 31671
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii!
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Leo,sijui.......hakuna jipya,sidhan kama kuna kipya
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  The good thing nowadays is that we are defining things subjectively pending on who and how one feels about anything!
   
 17. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Vipi kuhusu wakulima na wafugaji ambao ni zaidi ya 80% ya wanananchi wa Taifa hili???? Kweli kwa kuwajali wafanyakazi (kama ni kweli) ndo kusikiliza kilio cha watu wengi???? Mkubwa.. I think next time you have to look before you jump in here with full of upupu!!!!...
   
 18. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  una-refer mtanzania yupi?
   
Loading...