Budget ya mwaka 2011/2012-imepatiakana?

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Wakuu, tunaomba mwenye copy ya budget aiweke humu. Nakumbuka mwaka jana muda kama huu tulishaipata. Nilitegemea mwaka huu tumejivua GAMBA basi budget ingepatikana mapema zaidi.
 
yanini waiweke kwani ulipoona ya mwaka jana kuna mabadiliko gani mpaka sasa??kila mwaka wanataja bajeti lakini je ninini kinachobadilika??maana mishahara palepale,maendeleo palepale,kodi palepale!!!kiujumla umuhimu wa hz bajeti naonaga tu zinaongelewa lakini hazisaidii kitu kituy labda wakenya ndio wanafaidi!
 
mkuu zinasaidia kuendesha wizara, bora iwekwe tuone ni wizara ipi itakuwa na ngawira za kutosha ili tukarambe miguu watu wa hiyo wizara maana mmmmh!! ni faida kwa wizara tu baasi.
 
Back
Top Bottom