Budget resort

Budget resort

Budget Resort

Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
27
Reaction score
12
Karibuni sana
6b1d3a11e76bb896ee04fafe7df9ce57.jpg
 
Karibuni sana
6b1d3a11e76bb896ee04fafe7df9ce57.jpg

Umelipia hili Tangazo JF lakini? Yap ni sehemu nzuri sana ya kula bata na hata kupumzika pia na najua hata Mzee na Mwalimu wangu wa Philosophy na Ethics Professor Mwesigwa Baregu hapo ndipo Uwanja wake wa kujidai siku zote akiwa na ile Range yake matata hivi. Ila tatizo kubwa la hapo bhana wala Jamaa zetu wa Oysterbay mkabala na Dstv hapo ndipo huwa Kambi yao Kuu hivyo huwa tunaogopa kuwa nao kwani hawakawii kututolea Bastola sijui Pistol na sisi Wateja kwani sasa hivi ni rasmi Tanzania imeshakuwa ni ya mikono juu mwendo wa mateka.

Nisalimie sana Erick jirani yenu na Mdau wenu mkubwa na wa Kutukuka sana hapo.
 
Ha ha haaa karibu sana salamu zimefika,ama kweli we ni mdau wetu mkubwa,usijali sana kuhusu hao budget ni sehemu ya wastaarabu hivyo hata wakija nao pia huwa wastaarabu.

Karibu sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom