BUCHA YA NYAMA YA MBUZI

BUCHA YA NYAMA YA MBUZI

Italipa baada ya muda.

Cha kufanya anza ila uwe na huduma bora na classic sana, watu wataambiana tu na wataanza kujaa. Narudia tena uwe na huduma bora!

Hakikisha pia una supply ya mee za kutosha. Sio mtu akija leo nyama ipo kesho hamna keshokutwa nyama ipo ila saa nne asubuhi imeisha na ndio hadi kkutwa
 
Unafungua Kisesa

Shukran kwa ushauri
 
Jaribu uweke na jiko pembeni

Unauza Nyama then unauza na nyama choma

Na bia ziwepo yaani usiwekeze nguvu kubwa katika bucha Kama bucha Ila weka bucha ile unachinja mbuzi unauza nyama inayobaki inakuwa Nyala choma

Zingatia location
 
Italipa baada ya muda.

Cha kufanya anza ila uwe na huduma bora na classic sana, watu wataambiana tu na wataanza kujaa. Narudia tena uwe na huduma bora!

Hakikisha pia una supply ya mee za kutosha. Sio mtu akija leo nyama ipo kesho hamna keshokutwa nyama ipo ila saa nne asubuhi imeisha na ndio hadi kkutwa
A word
 
Mbuzi ni biashara nzuri na inalipa ukiwa serious inahitaji tu uwe na uhakika wa soko yaani wapi unawapata hao mbuzi na centre nzuri ili uone faida. Mbuzi si lazima uwe na jiko pembeni isipokuwa kama unauzia seehemu za baa au hoteli.Usifanye biashara ya mbuzi bila kupata mwongozo vizuri. Wateja wako wakizoea ni vizuri.Shukrani
 
Back
Top Bottom